Thiem kucheza na Zverev fainali ya Us Open wanaume

Dominic Thiem  wa Australia alifuzu kucheza fainali ya mashindano ya Us Open dhidi ya Mjerumani  Alexander Zverev mapema jumatatu.

Thiem alimzidia maarifa Daniil Medvedev wa urusi seti 2-1 mapema leo katika nusu fainali za 2-6,9-7 na 7-5.

Katika nusu fainali ya pili Zeverev aliye na miaka 23 na anayeorodheshwa wa 5 ulimwenguni alimbwaga  Borna Coric kwa seti za 1-6, 7-6, 7-6 na 6-3.

Fainali ya wanaume kwa mara ya kwanza itawashirikisha wachezaji waliozaliwa baada yam waka 1990.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *