Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Matiang’i aagiza kukamatwa kwa wazee wapenda ndogo ndogo
  • Keyshia Cole na K. Michelle sasa ni marafiki!
  • AFCON U 20 kuingia semi fainali Jumatatu
  • Mtangazaji wa ishara wa KBC Simon Karutha afariki kufuatia ajali ya barabarani
  • Shujaa na Lionesses zamaliza nafasi za Pili Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Zuchu

Burudani 

Baba Levo amshukuru Diamond Platnumz

24 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Baba Levo, Diamond Platnumz, Wasafi fm, Zuchu

Mwanamuziki na mtangazaji wa kituo cha redio cha Wasafi Fm nchini Tanzania Revokatus Kipando maarufu Baba Levo anamshukuru mwanamuziki Diamond

Read more
Burudani 

Lava Lava kuzindua nyimbo zake Kesho

11 February 202111 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Lava Lava, Mbosso, WCB, Zuchu

Mr. Love Bite mwanamuziki wa Tanzania ambaye anajulikana na wengi kama Lava Lava ametangaza kwamba kesho Ijumaa ataachilia msururu wa

Read more
Burudani 

Zuchu balozi wa utalii Zanzibar!

8 February 20218 February 2021 Marion Bosire 0 Comments President Hussein Ali Mwinyi, Sukari, WCB, Zanzibar, Zuchu

Zuhura Othman Soud maarufu kama Zuchu anaendelea kupaa katika kazi yake ya uanamuziki ambayo imemletea mengi mazuri. Mwanamuziki huyo wa

Read more
Burudani 

Kibao cha Harmonize na Anjella kuzinduliwa siku ya wapendanao

3 February 2021 Marion Bosire 1 Comment Anjella Tz, Diamond Platnumz, Harmonize, Konde Music, Wasafi fm, Zuchu

Harmonize anayemiliki kampuni ya wanamuziki kwa jina Konde Music aligonga vichwa vya habari mwishi wa mwaka jana baada ya kuomba

Read more
Burudani 

Sukari, Zuchu

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Khadija Kopa, Tanzania, Wasafi fm, WCB, Wema Sepetu, Zuchu

Zuchu mwanamuziki anayeangaziwa zaidi katika kampuni ya WCB nchini Tanzania ana kibao kipya kwa jina “Sukari” ambacho alikiachia rasmi kwenye

Read more
Burudani 

Niko sawa! Zuchu awambia mashabiki

2 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Tanzania, Wasafi Media, WCB, Zuchu

Malkia wa kampuni ya wanamuziki nchini Tanzania Wasafi Classic Baby WCB Zuchu amewaarifu mashabiki wake kwamba yuko salama salmini. Hii

Read more
Burudani 

Octopizzo apendekezwa kuteuliwa kuwania tuzo za Grammy

8 November 20207 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Grammy Awards, Octopizzo, Rayvanny, Wasafi, WCB, Zuchu

Octopizzo ambaye ni mwanamuziki wa nchi ya Kenya ana raha baada ya kupiga hatua katika sanaa yake. Hii ni baada

Read more
Burudani 

Zuchu ateuliwa kuwania tuzo za Burudani Afrika huko Marekani.

11 October 202011 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Masauti, Wasafi, WCB, Zuchu

Kitinda mimba wa sasa wa WCB yaani Wasafi kampuni ya muziki inayomilikiwa na Diamond Platinumz ameshapata uteuzi wake wa kwanza

Read more
Burudani 

Zuchu afurahia kukutana na babake mzazi

8 October 20208 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Khadija Kopa, Wasafi, WCB, Zuchu

“Mwaka 2020 ndio mwaka naupenda zaidi maishani. Babangu mzazi. Mwenyezi Mungu atuweke karibu leo mpaka milele. Amani ambayo ninahisi hakuna

Read more
Burudani 

Mama Diamond Platinumz amwombea apate mpenzi na afunge ndoa

5 October 20205 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Esma Platinumz, Mimi Mars, Tanasha Donna, Wasafi fm, Zuchu

Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe ambaye sasa ni nyota mkubwa Afrika mashariki, Afrika nzima na hata ulimwenguni, Bi

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version