Maafisa wa usalama nchini Uganda washtumiwa kwa kuwajeruhi wanahabari waliokuwa wakiripoti kumhusu Bobi Wine
Muungano wa Wahariri nchini Uganda umeshtumu vikali vikosi vya usalama nchini humo (UPDF) baada ya kuwajeruhi wanahabari kadhaa waliokuwa wakiripoti
Read more