Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Wycliffe Oparanya

Habari 

Magavana waapa kuwapiga kalamu wahudumu wa afya wanaogoma

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Kakamega, Mgomo, Wycliffe Oparanya

Magavana wametishia kuwaachisha kazi wahudumu wote wa afya wanaogoma iwapo hawatarejea kazini mara moja. Magavana hao pia wamefichua kwamba watasambaza

Read more
Habari 

Magavana kushtaki Wizara ya Fedha kwa kuzuia fedha za magatuzi

11 January 2021 James Kombe 0 Comments Baraza la Magavana, Ukur Yattani, Wizara ya Fedha, Wycliffe Oparanya

Baraza la Magavana limetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Wizara ya Fedha kwa kuchelewa kusambaza mgao wa hadi shilingi

Read more
Habari 

Chama cha kitaifa cha matabibu chatishia kuandaa mgomo wa kitaifa

8 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments George Gibore, KUCO, Wycliffe Oparanya

Huenda wakenya wakakosa huduma za matabibu katika hospitali za umma baada ya chama cha taifa cha matabibu-KUCO, kutangaza kurejelea mgomo

Read more
Habari 

Jopo la kuchunguza utendakazi wa vifaa vya matibabu labuniwa

17 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments George Ooko, Mutahi Kagwe, Wycliffe Oparanya

Wizara ya afya imebuni kundi jipya la kuongoza juhudi za kuchunguza upya utendakazi wa vifaa vya matibabu vilivyotolewa kwa kaunti

Read more
Habari 

Wito watolewa kwa wahudumu wa afya wanaogoma kurejea kazini

10 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments COG, Covid-19, Wycliffe Oparanya

Baraza la magavana limetoa wito kwa wahudumu wa afya wanaogoma kurejea kazini huku matakwa yao yakishughulikiwa na serikali ya kitaifa

Read more
Habari 

Serikali za kaunti kuongeza hewa ya oksijen katika vituo vya matibabu

20 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Wycliffe Oparanya

Serikali za kaunti zinapania kuongeza kiwango cha hewa ya oksijeni iliyohifadhiwa ili kukimu mahitaji ya hewa hiyo kwa vitanda 50

Read more
Habari 

Oparanya aibuka Gavana mchapa kazi bora zaidi

28 October 2020 James Kombe 0 Comments Gavana, infotrak., Kakamega, Wycliffe Oparanya

Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ametajwa kuwa gavana anayetenda kazi kwa ubora zaidi kwenye orodha ya hivi punde

Read more
Habari 

Oparanya awasihi Wakenya kuunga mkono ripoti ya BBI

22 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments BBI, Bomas, Wycliffe Oparanya

Mwenyekiti wa Baraza la Magavana, Wycliffe Oparanya, amewataka Wakenya kuunga mkono ripoti ya Mchakato wa Maridhiano (BBI) iliyokabidhiwa rasmi Rais

Read more
Habari 

Wahudumu 298 zaidi wa afya waambukizwa Covid-19

15 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments COG, Covid-19, Wycliffe Oparanya

Wahudumu wa afya 298 katika kaunti zote 47 wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya Covid-19 katika muda wa wiki mbili na nusu

Read more
Habari 

Kaunti za Kakamega na Nandi zatia saini mkataba wa amani na utangamano

23 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments NCIC, Stephen Sang, Wycliffe Oparanya

Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya na mwenzake wa kaunti ya Nandi Stephen Sang, Jumanne walitia saini mkataba wa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version