Skip to content
Friday, February 26, 2021
Latest:
  • Watu 410 zaidi waambukizwa Covid-19 hapa nchini
  • Arsenal yaangukia Olympiakos wakati Man u wakikabana na AC Milan katika Europa league 16 bora
  • Timu ya marathon ya olimpiki yapata ufadhili wa sh Milioni 1
  • Nkechi Blessing na Bobrisky warushiana maneno
  • Ruge Mutabaha akumbukwa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

WCB

Burudani 

Vifaa vya Zoom ni vyangu!

18 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Harmonize, Konde Boy, Konde Music, Wasafi, WCB, Zoom Extra, Zoom Production

Msanii wa muziki nchini Tanzania Harmonize mmiliki wa kampuni ya usimamizi wa wasanii maarufu kama Konde Music amedai kwamba yeye

Read more
Burudani 

Lava Lava kuzindua nyimbo zake Kesho

11 February 202111 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Lava Lava, Mbosso, WCB, Zuchu

Mr. Love Bite mwanamuziki wa Tanzania ambaye anajulikana na wengi kama Lava Lava ametangaza kwamba kesho Ijumaa ataachilia msururu wa

Read more
Burudani 

Sijawahi kumroga mume wangu!

10 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Isihaka, Queen Darleen, Wasafi fm, WCB

Ndivyo alivyojitetea mwanamuziki wa Tanzania Queen Darleen ambaye kwa muda mrefu alichukuliwa kuwa dadake Diamond Platnumz kuhusu uhusiano wake na

Read more
Burudani 

Zuchu balozi wa utalii Zanzibar!

8 February 20218 February 2021 Marion Bosire 0 Comments President Hussein Ali Mwinyi, Sukari, WCB, Zanzibar, Zuchu

Zuhura Othman Soud maarufu kama Zuchu anaendelea kupaa katika kazi yake ya uanamuziki ambayo imemletea mengi mazuri. Mwanamuziki huyo wa

Read more
Burudani 

Ninamheshimu Nandy – Diamond Platnumz

29 January 202129 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Clouds Media, Diamond Platnumz, Nandy, Ruge Mutabaha, Wasafi Media, WCB

Jana wakati akihojiwa kwenye Wasafi Fm, Diamond aliulizwa kuhusu ulivyo uhusiano kati yake na msanii wa kike nchini Tanzania nandy.

Read more
Burudani 

Mbosso atangaza ujio wa Albamu yake

28 January 202128 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Mbosso Khan, Rich Mavoko, Tanga Fresh, Tanzania, Wasafi fm, WCB, Yamoto Band

Mwanamuziki wa Tanzania kwa jina Mbosso Khan ametangaza kwamba atazindua albamu yake ya kwanza tarehe 14 mwezi Februari mwaka huu

Read more
Burudani 

Sukari, Zuchu

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Khadija Kopa, Tanzania, Wasafi fm, WCB, Wema Sepetu, Zuchu

Zuchu mwanamuziki anayeangaziwa zaidi katika kampuni ya WCB nchini Tanzania ana kibao kipya kwa jina “Sukari” ambacho alikiachia rasmi kwenye

Read more
Burudani 

Rayvanny kuzindua albamu

19 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Bongo Fleva, Rayvanny, Tanzania, Vanny Boy, WCB

Msanii wa Bongo Fleva Raymond Shaban Mwakyusa almaarufu Rayvanny ama ukipenda vanny Boy ametangaza kwamba ataachilia albamu yake ya kwanza

Read more
Burudani 

Niko sawa! Zuchu awambia mashabiki

2 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Tanzania, Wasafi Media, WCB, Zuchu

Malkia wa kampuni ya wanamuziki nchini Tanzania Wasafi Classic Baby WCB Zuchu amewaarifu mashabiki wake kwamba yuko salama salmini. Hii

Read more
Burudani 

Harmonize amtambua Diamond Platnumz

1 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Harmonize, Konde Gang, Wasafi Media, WCB

Mwanamuziki wa Tanzania kwa jina Harmonize amechagua kumtambua mwanamuziki mwenza Diamond Platnumz katika kheri njema za mwaka mpya. Wanamuziki hao

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version