Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Shujaa yazidiwa maarifa na Argentina kwa mara tatu Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Wazito Fc

Michezo 

Gor na Wazito FC wafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja kwa kushindwa kuwalipa wachezaji

5 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments FIFA, Gor Mahia Fc, Wazito Fc

ShirikIsho la soka ulimwenguni FIFA   limezipiga marufuku timu za  Gor Mahia  na  Wazito Fc kusaini wachezaji wapya kuanzia msimu huu 

Read more
Michezo 

Homeboyz wazidiwa Uzito ligi kuu FKF

29 January 202130 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments FKFPL, Kakamega Homeboyz, Wazito Fc

Klabu ya Wazito Fc imeendeleza msuru wa matokaeo mazuri  kwa kushinda mechi tano mtawalia,ilipowaangusha Kakamega Homeboyz goli 1 bila jibu

Read more
Michezo 

KCB FC na Wazito FC zaibuka kidedea

4 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Fkf Premier league, KCB FC, Nairobi City Stars, Vihiga United Fc, Wazito Fc

Baada ya kuambulia kichapo katika mechi za raundi ya kwanza ya ligi kuu wiki jana,timu ya Wazito Fc imesajili ushindi

Read more
Michezo 

Kimanzi arejea kwa mbwembwe ligi kuu akisaini mkataba wa miaka 4 na Wazito Fc

17 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Mathare United Fc, Wazito Fc

Aliyekuwa mkufunzi wa Harambee Stars Francis Kimanzi ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya  Wazito Fc inayoshiriki ligi kuu  kwa

Read more
Michezo 

Muyoti atwaa mikoba ya kuinoa Wazito FC

10 November 20209 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, Fkf Premier league, Kakamega Homeboyz, Wazito Fc

Nicholas Muyoti ameteuliwa kuwa kocha mpya wa kilabu cha  Wazito Fc kinachoshiriki ligi kuu ya soka humu nchini. Hadi uteuzi

Read more
Michezo 

Wazito Fc yawafurusha wakufunzi wote siku 10 kabla ya kuanza kwa ligi kuu

9 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Boniface Ambani, Fkf Premier league, Wazito Fc

Kocha wa kilabu cha Wazito FcC Boniface Ambani na wazaidizi wake Salim Babu na  mkufunzi wa walinda lango  Elias Otieno

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version