Skip to content
Saturday, January 16, 2021
Latest:
  • Charles Mneria awika katika mbio za kukata mbuga za Magereza
  • Jamii ya Maasai yasema inaunga mkono ripoti ya BBI
  • Wanjiru atwaa ubingwa wa mbio za nyika za Magereza
  • CHAN kutoa fursa kwa wachezaji wa nyumbani kung’aa
  • Muuaji sugu awahofisha wakazi wa Moi’s bridge
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Vijana

Habari 

Rais Kenyatta awahimiza vijana wachangamkie maswala ya kitaifa

7 December 2020 James Kombe 0 Comments Bomas, Kenya ni Mimi, Uhuru Kenyatta, Vijana

Rais Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa vijana kushiriki ipasavyo katika maswala muhimu ya kitaifa. Rais Kenyatta amesema kuwa wakati umewadia kwa

Read more
Habari 

Viongozi wa vijana Nairobi waapa kuandamana wakipinga kubanduliwa mamlakani kwa Sonko

6 December 20206 December 2020 James Kombe 0 Comments Nairobi, Seneti, Sonko, Vijana

Baadhi ya vijana wa Kaunti ya Nairobi wameshtumu vikali hatua ya kubanduliwa mamlakani kwa Gavana Mike Mbuvi Sonko. Sonko aliondolewa

Read more
Habari 

Vijana wahimizwa kuunga mkono BBI kwa manufaa yao ya kiuchumi

7 November 20207 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Kakamega, Mwingi, Tindi Mwale, Vijana

Vijana kote nchini wamehimizwa kusoma na kuelewa ripoti ya Mpango wa Maridhiano, BBI, kabla ya kufanya maamuzi yoyote kuhusu. Chama cha

Read more
Habari 

Balozi wa Marekani ashtumu hatua ya kutumia vijana kuzua vurugu humu nchini

14 October 202014 October 2020 James Kombe 0 Comments Anne Waiguru, Balozi wa Marekani, Kirinyaga, Kyle McCarter, Vijana

Balozi wa Marekani humu nchini Kyle McCarter amesema nchi yake haitabakia kimya na kutazama vijana wakiendelea kuchochewa na wanasiasa kuzua

Read more
Habari 

Vijana wa ODM huko Pwani waapa kupambana na waasi wa chama hicho

4 October 2020 James Kombe 0 Comments Dabaso, Msambweni, ODM, Pwani, Taita Taveta, Vijana

Viongozi wa vijana katika chama cha ODM Ukanda wa Pwani, wamepinga vikali wito wa kuundwa kwa chama cha kisiasa cha

Read more
Vipindi 

Marwa amesisitiza fedha billion 8.5 zilizotolewa na serikali kwa wazee na walemavu zitawifikia

19 September 202019 September 2020 Jared Ombui 0 Comments Covid-19, Nelson Marwa, Vijana, Walemavu, Wazee

Katibu wa Huduma za Jamii Nelson Marwa amesisitiza fedha billion 8.5 zilizotolewa na serikali kwa wazee na walemavu zitawifikia hivi

Read more
Habari 

Ruto asema hatakoma kusaidi makundi ya Kidini na kuinua vijana

12 September 202012 September 2020 Jared Ombui 0 Comments Dini, Kidini, Makanisa, Misikiti, Vijana, William Ruto

Naibu Rais William Ruto amesema hatashurutishwa kukoma kusaidia makundi ya kidini na shughuli za kuwainua vijana. Akihutubia viongozi wa makanisa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version