Skip to content
Sunday, April 11, 2021
Latest:
  • Wanaharakati watabiri ongezeko la mimba za mapema kote nchini
  • Watetezi wa haki watakiwa kumuokoa msichana anayeteswa na babake wa kambo Bunyala
  • Waziri Mkuu wa Uingereza kutohudhuria ibada ya wafu ya Mwanamfalme Philip
  • Ismail Omar Guelleh achaguliwa bila kupingwa kuiongoza Djibouti
  • Visa vipya 1,030 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Umoja wa Mataifa

Kimataifa 

Umoja wa Mataifa wakashifu mauaji ya raia nchini Myanmar

2 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Aung San Suu Kyi, Myanmar, Umoja wa Mataifa

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limekashifu vikali mauaji ya mamia ya raia nchini Myanmar, kwenye taarifa iliyopuuziliwa mbali

Read more
Habari 

Kenya yashindwa na Uganda kwa viwango vya furaha

21 March 2021 James Kombe 1 Comment Furaha, Kenya, uganda, Umoja wa Mataifa

Kenya imeorodheshwa katika nafasi ya 86 katika ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa kuhusu viwango vya furaha uliwenguni.

Read more
Habari 

Rais Kenyatta aratibisha ajenda 4 katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

7 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Uhuru Kenyatta, Umoja wa Mataifa

Rais Uhuru Kenyatta ameratibisha ajenda nne ambazo Kenya itapigia debe baada ya kuchukua wadhifa wake kama mwanachama asiye wa kudumu

Read more
Kimataifa 

Umoja wa Mataifa waelezea wasiwasi kuhusu raia wa Tigray

22 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Michelle Bachelet, Tigray, Umoja wa Mataifa

Umoja wa mataifa umesema kuwa unaendelea kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya raia katika eneo la Tigray nchini  Ethiopia. Kwa mara

Read more
Habari 

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa latakiwa kuhakikisha usalama nchini Burundi

10 December 2020 James Kombe 0 Comments Burundi, Evariste Ndayishimiye, Human Rights Watch, Pierre Nkurunziza, Umoja wa Mataifa

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch, limelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuendelea

Read more
Kimataifa 

Guterres aahidi kuangazia mabadiliko ya hali ya anga ulimwenguni

2 December 2020 James Kombe 0 Comments Antonio Guterres, Mazingira, Umoja wa Mataifa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameapa kulipa kipaumbele suala la mabadiliko ya hali ya anga katika Umoja

Read more
Kimataifa 

Zaidi ya watu 100 wafariki kutokana na mafuriko nchini Sudan

1 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments FAO, Sudan, Umoja wa Mataifa

Shirika la chakula na kilimo la umoja wa mataifa-FAO limesema mafuriko makubwa yanayoshuhudiwa nchini Sudan yameathiri takriban thuluthi moja ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta: Ushirikiano thabiti wa kimataifa ni nguzo muhimu kukabiliana na changamoto zilizopo

24 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments Uhuru Kenyatta, Umoja wa Mataifa

Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba utangamano muafaka katika mfumo wa kimataifa unaozingatia sheria, ni muhimu katika kukabili changamoto zinazokumba ulimwengu

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version