Skip to content
Saturday, January 16, 2021
Latest:
  • Charles Mneria awika katika mbio za kukata mbuga za Magereza
  • Jamii ya Maasai yasema inaunga mkono ripoti ya BBI
  • Wanjiru atwaa ubingwa wa mbio za nyika za Magereza
  • CHAN kutoa fursa kwa wachezaji wa nyumbani kung’aa
  • Muuaji sugu awahofisha wakazi wa Moi’s bridge
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Uhuru Kenyatta

Habari 

Rais Kenyatta apuuzilia mbali wazo la uongozi wa urithi

9 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Musalia MUdavadi, Uhuru Kenyatta, Vihiga

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa uongozi wa nchi hii sio wa kurithi wala uliotengewa jamii mbili pekee. Rais aliyehudhuria mazishi

Read more
Habari 

Wanaopinga BBI watahadharishwa dhidi ya kueneza propaganda

9 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments BBI, Peter Munya, Uhuru Kenyatta

Waziri wa kilimo Peter Munya amewatahadharisha wale wanaopinga ripoti ya jopo la maridhiano- BBI, dhidi ya kueneza propaganda kuhusu yaliyomo kwenye

Read more
Habari 

Wauguzi wamsihi Rais Kenyatta kusuluhisha mzozo katika sekta ya afya

8 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments KNUN, Seth Panyako, Uhuru Kenyatta

Maafisa wa chama cha kitaifa cha wauguzi sasa wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati kukomosha mzozo unaokumba sekta ya afya.

Read more
Habari 

Rais Kenyatta aratibisha ajenda 4 katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

7 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Uhuru Kenyatta, Umoja wa Mataifa

Rais Uhuru Kenyatta ameratibisha ajenda nne ambazo Kenya itapigia debe baada ya kuchukua wadhifa wake kama mwanachama asiye wa kudumu

Read more
Habari 

Rais Kenyatta awataka wakenya kuwa na mtazamo mpya mwaka 2021

31 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Uhuru Kenyatta

Rais  Uhuru Kenyatta ametaja mwaka wa  2021 kuwa mwaka wa kujenga upya huku akitoa wito kwa wakenya kuweka kando masaibu

Read more
Habari 

Marehemu Evan Gicheru amiminiwa sifa sufufu

31 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Evan Gicheru, Kihara Kariuki, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amemsifu aliyekuwa jaji mkuu marehemu Evan Gicheru kuwa zawadi kutoka kwa mwenyezi Mungu, mtu aliyeamini katika uzingatiaji

Read more
Habari 

Rais Kenyatta amwomboleza jaji mstaafu marehemu Evans Gicheru

26 December 202026 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Evans Gicheru, Raila Odinga, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ametuma risala za rambi rambi kwa familia, jamaa na marafiki wa Jaji mkuu mstaafu Evans Gicheru aliyefariki

Read more
Habari 

Rais Kenyatta atoa wito kwa kituo cha CDC kuhakikisha mikutano salama ya AU

25 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments AU, CDC, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza kituo cha bara Afrika kuhusu kinga na udhibiti wa magonjwa (Africa CDC), kuandaa kanuni zilizowianishwa za

Read more
Habari 

Baraza la mawaziri laenda likizo ya krismasi

19 December 202019 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Baraza la mawaziri, Uhuru Kenyatta

Baraza la mawaziri litaenda likizoni kuanzia Jumanne tarehe 22 mwezi huu hadi Jumapili tarehe 3 mwezi Januari mwakani. Kwa mujibu

Read more
Habari 

Rais Kenyatta amwomboleza Nyangarama

18 December 202018 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments John Nyangarama, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amemtaja marehemu Nyagarama kuwa mfano bora wa kiongozi aliyejitolea kuwahudumia WaKenya.   John Nyagarama alifariki Ijumaa asubuhi

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version