Skip to content
Friday, February 26, 2021
Latest:
  • Mwakilishi wodi ya Karen ahukumiwa miaka mitatu gerezani kutokana na ufisadi
  • KRA yaboresha mfumo wake wa ukusanyaji ushuru
  • Stars kucheza mechi tatu za kujipiga msasa kabla ya kuikabili Misri
  • Watu 277 zaidi waambukizwa Covid-19 hapa nchini
  • Vipusa wa KCB walenga matokeo bora ligi kuu KVF Wikendi hii
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

uganda

Kimataifa 

Uganda yakana madai kwamba viongozi wakuu serikalini wamechanjwa kisiri dhidi ya COVID-19

24 February 202124 February 2021 James Kombe 0 Comments Chanjo, Covid-19, Jane Aceng, uganda

Waziri wa Afya nchini Uganda Jane Aceng amekanusha taarifa kwamba viongozi wa juu wa serikali wamepata chanjo dhidi ya COVID-19 hata kabla

Read more
Michezo 

Mechi za Uganda za kufuzu kwa mashindano ya FIBA Afrobasket zaahirishwa kutokana na Covid 19

19 February 202119 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments FIBA, FIBA Afrobasket, uganda

Shirikisho la mpira wa kikapu ulimwenguni FIBA limelazimika kuahirisha mechi za Uganda za kufuzu kwa mashindano ya kombe la Afrika

Read more
Kimataifa 

Maafisa wa usalama nchini Uganda washtumiwa kwa kuwajeruhi wanahabari waliokuwa wakiripoti kumhusu Bobi Wine

18 February 2021 James Kombe 0 Comments Boni Wine, uganda, UPDF, Yoweri Museveni

Muungano wa Wahariri nchini Uganda umeshtumu vikali vikosi vya usalama nchini humo (UPDF) baada ya kuwajeruhi wanahabari kadhaa waliokuwa wakiripoti

Read more
Burudani 

Cindy Sanyu azungumzia tuzo za MAMA

17 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Cindy Sanyu, MAMA Awards, uganda, YKee Benda

Mwanamuziki wa Uganda wa mtindo wa dancehall Cindy Sanyu amesema kwamba hasumbuliwi na hatua ya waandalizi kukosa kumteua kuwania tuzo

Read more
Michezo 

Uganda yaipakata Msumbiji AFCON U 20

15 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, CAF, FUFA, uganda

Timu ya Uganda maarufu kama Hippos imeanza vyema mechi za kundi A katika mashindano ya kuwania kombe la AFCON kwa

Read more
Kimataifa 

Mahakama ya Uganda yaagiza Bobi Wine aachiliwe huru

25 January 202125 January 2021 James Kombe 0 Comments Bobi Wine, uganda, Yoweri Museveni

Mahakama moja nchini Uganda imetoa agizo kwa maafisa wa usalama kuondoka nyumbani kwa mwanasiasa wa upinzani Bobi Wine. Hii ni

Read more
Michezo 

Waakilishi wa East Africa waning’inia kubanduliwa CHAN

23 January 202123 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN2020, Moroko, Rwanda, Togo, uganda

Waakilishi wa Afrika mashariki Uganda,Rwanda na Tanzania wanakaribia kuyaaga mashindano ya kuwania kombe la CHAN nchini Cameroon. Uganda Cranes wanaoshiriki

Read more
Kimataifa 

Marekani yataka kuchunguzwa kwa ghasia za uchaguzi nchini Uganda

22 January 202121 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Boby Wine, uganda, Yoweri Museveni

Muungano wa Ulaya na Marekani zimetoa wito wa uchunguzi kufanywa kuhusiana na ghasia za uchaguzi zilizotokea nchini Uganda huku kiongozi

Read more
Burudani 

Jose Chameleon akosa umeya wa Kampala

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Jose Chameleone, Kampala, Lord Mayor Erias Lukwago, Pallaso, uganda, Weasel

Uchaguzi wa Umeya nchini Uganda uliandaliwa jana tarehe 20 mwezi Januari mwaka huu wa 2021 na wala sio tarehe 14

Read more
Michezo 

Rwanda Uganda waumiza nyasi bila lengo

19 January 202119 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN 2020, Morocco, Rwanda, Togo, uganda

Majirani Uganda Cranes na Amavubi ya Rwanda walitoka sare tasa katika mechi ya pili ya kundi C ya kombe la

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version