Wanajeshi wa Eritrea wajiondoa kutoka eneo la makabiliano la Tigray nchini Ethiopia
Wanajeshi wa Eritrea wameanza kuondoka katika eneo la Tigray nchini Ethiopia baada ya kuiunga mkono serikali katika kukabiliana na waasi
Read moreWanajeshi wa Eritrea wameanza kuondoka katika eneo la Tigray nchini Ethiopia baada ya kuiunga mkono serikali katika kukabiliana na waasi
Read moreVyama vya upinzani katika jimbo la Ethiopia la Tigray,vimeonya kuhusu uwezekano wa kutokea janga la kibinadamu ikiwa misaada haitapelekwa katika
Read moreUmoja wa mataifa umesema kuwa unaendelea kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya raia katika eneo la Tigray nchini Ethiopia. Kwa mara
Read moreEthiopia imesema kuwa vikosi vyake vimewakomboa wanajeshi elfu- moja waliokuwa wametekwa nyara katika jimbo la Tigray na wapiganaji wanaohusishwa na
Read moreVikosi vya serikali nchini Ethiopia vimetekeleza shambulizi kali katika jiji kuu la eneo la Tigray kaskazini ya nchi hiyo kwa
Read moreMaafisa wa serikali kuu ya Ethiopia wamekanusha ripoti kwamba raia walilengwa kwenye mashambulizi ya angani katika mji mkuu wa eneo
Read moreUmoja wa mataifa umeonya kwamba mzozo mkubwa wa binadamu unanukia katika jimbo la Kaskazini mwa Ethiopia la Tigray,kufuatia mapigano ya
Read moreSerikali ya Ethiopia imemteua msimamizi wa muda wa jimbo la Tigray kaskazini ya nchi hiyo ambako operesheni ya kijeshi ya
Read moreWaziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, amemfuta kazi mkuu wa majeshi, mkuu wa idara ya ujasusi na waziri wa mashauri
Read more