Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Munya:Sheria mpya za kahawa kuwanufaisha wakulima
  • Wafanyibiashara ndogo ndogo watakiwa kulenga soko la Afrika Mashariki
  • Rais Kenyatta ndiye mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Afrika Mashariki
  • Shujaa yashinda mechi zote tatu Madrid 7’s
  • Kenya yanakili visa 181 vipya vya Covid-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

TFF

Michezo 

Tanzania yagura CHAN baada ya kuwahemesha Guinea

28 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN2020, Guinea, TFF

Taifa Stars ya Tanzania iligura michuano ya CHAN mwaka 2020 nchini Cameroon kifalme baada ya kuwahemesha vigogo wa Afrika magharibi

Read more
Michezo 

Tanzania yasajili ushindi wa kwanza CHAN na kuitimua Namibia

24 January 202124 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN202, Namibia, Tanzania, TFF

Taifa Stars ya Tanzania ilisajili ushindi wa kwanza katika michuano ya CHAN inayoendelea baada ya kuwaangusha Namibia goli 1-0 katika

Read more
Michezo 

CHAN kuingia siku ya 4 mjini Limbe Tanzania wakifungua pazia na Zambia

19 January 202119 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CHAN2020, Faz, TFF

Chipolopolo ya Zambia watafungua ratiba ya kundi D ya michuano ya Chan Jumanne usiku dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania

Read more
Michezo 

Samatta apiga bao la tatu Fernabahce

19 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Ali Samatta, Fernabahce, TFF

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Ali Mbwana Samatta alifunga bao lake la tatu katika klabu ya Ferbahce ya

Read more
Michezo 

Simba anguruma na kuweka historia ya kutinga makundi ya ligi ya mabingwa

6 January 20216 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Champions league, Platinum, Simba sc, TFF

Klabu ya Simba imeandikisha historia baada ya kusajili wa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Platinum Fc ya Zimbabwe  na

Read more
Michezo 

Simba alenga kurudia Historia na kutinga makundi ya Ligi ya mabingwa

6 January 202123 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Simba sc, TFF

Timu ya Simba Sports  Club ya Tanzania inaazimia kufuzu kwa  hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika Jumatano jioni 

Read more
Michezo 

Tanzania na Djibouti zafuzu nusu fainali ya CECAFA na kunusia kipute cha AFCON U 17

18 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 17, Cecafa u 17, TFF

Tanzania na Djibouti zimejikatia tiketi ya nusu fainali kuwania kombe la Cecafa kwa  chipukizi walio chini ya umri wa miaka

Read more
Michezo 

Viboko wa Uganda waitafuna Tanzania na kunyakua kombe la CECAFA 2020

2 December 20202 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, CAF, Cecafa u 20, FUFA, Tanzania, TFF, uganda

Timu ya Uganda kwa Chipukizi walio chini ya umri wa miaka 20 maarufu kama Hippos ,ndio mabingwa wa mwaka huu

Read more
Michezo 

Viboko wa Uganda kukabiliana na Ngorongoro Heroes ya Tanzania fainali ya CECAFA

2 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afcon u 20, Arusha, CAF, Cecafa u 20, fkf, FUFA, Ngorongoro Heroes, SSFA, Tanzania, TFF, Uganda Hippos

Fainali ya kuwania  kombe la Cecafa kwa vijana  chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 itapigwa Jumatano  alasiri baina ya mabingwa

Read more
Michezo 

Tanzania wakwea ndege kupiga kipute cha AFCON mwakani

30 November 202030 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CECAFA, Cecafa u 20, fkf, South Sudan, SSFA, Tanzania, TFF

Mabingwa watetezi wa kombe la Cecafa kwa chipukizi walio chini ta umri wa miaka 20 Tanzania wamefuzu kwa kipute cha

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version