Skip to content
Saturday, March 6, 2021
Latest:
  • Mahakama ya Kericho yafungwa kwa muda
  • Shule kufunguliwa tena Msumbiji baada ya kufungwa kwa mwaka mmoja
  • Mwanaume ampokonya polisi bastola na kuwaua watu wawili Kisumu
  • Raila asimikwa mzee wa jamii ya Waduruma
  • Ardhi yahusishwa na changamoto za usalama hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Tanasha Donna

Burudani 

Shaffie Weru kulipia Tanasha deni

17 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Dana De Grazia, Eric Omondi, Shaffie Weru, Tanasha Donna

Mtangazaji Shaffie Weru ameahidi kulipia mwanamuziki Tanasha Donna deni analodaiwa na mpodozi wake. Shaffie anasema yeye na Tanasha ni marafiki

Read more
Burudani 

Tanasha amjibu Dana

16 February 202116 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Daba De Grazia, Eric Omondi, Nairobi Diaries, Tanasha Donna

Jana tulikujuza kuhusu tuhuma za mwanadada aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Ebru Dana De Grazia dhidi ya mwanamuziki Tanasha Donna.

Read more
Burudani 

Tanasha ameanikwa!

15 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Dana De Grazia, Eric Omondi, Show kwa Choo, Tanasha Donna

Mwanamuziki Tanasha Donna wa Kenya amejipata pabaya baada ya aliyekuwa mtangazaji wa runinga Dana De Grazia anayejiita Hustle goddess kwenye

Read more
Burudani 

Diamond Platnumz afanya ziara fupi nchini Kenya

8 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Mama Dangote, Naseeb Junior, Pepsi, Romy Jons, Tanasha Donna

Jana jioni mwanamuziki Diamond Platnumz toka Tanzania aliweka video ikimwonyesha akiabiri ndege huku akisema kwamba anaelekea jijini Nairobi nchini Kenya.

Read more
Burudani 

Tanasha Donna aandaa tamasha

7 December 20207 December 2020 Marion Bosire 0 Comments Afro Sayari Gardens, Jamal Gaddafi, Redsan, Tanasha Donna

Mwanamuziki wa Kenya Bi. Tanasha Donna ameandaa tamasha ijumaa tarehe 11 mwezi Disemba mwaka huu wa 2020. Tamasha hilo litaandaliwa

Read more
Burudani 

Tanasha Donna kuzindua Albamu yake mwakani

16 November 202016 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Ali Kiba, Diamond Platinumz, Donnatella, Tanasha Donna

Mamake Naseeb Junior Tanasha Donna ametangaza kwamba mwaka ujao atazindua albamu yake ya kwanza. Bi Donna ambaye pia aliwahi kuwa

Read more
Burudani 

Mashemeji wamekasirika!

14 November 202014 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Esma Platinumz, Naseeb Junior, Tanasha Donna, Tanzania

Simba wa muziki nchini Tanzania amejipata pabaya baada ya kuandika chini ya picha ya mtoto wake Naseeb Junior kwa mara

Read more
Burudani 

Diamond Platinumz kuzuru Kenya

11 November 202011 November 2020 Marion Bosire 0 Comments CCM, Diamond Platinumz, Tanasha Donna, Tanzania, Wasafi, WCB, Zari Hassan

Msanii wa nchi ya Tanzania Diamond Platinumz au ukipenda Chibu Dangote au Simba anatarajiwa kutua nchini Kenya hii leo kwa

Read more
Burudani 

Tanasha Donna kutembezwa Tanzania na mtangazaji Mwijaku

4 November 20204 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Mwijaku, Ray C, Tanasha Donna, Tanzania

Mtangazaji wa redio na muigizaji nchini Tanzania kwa jina Mwijaku amesema kwamba atamwalika na kumtembeza mwanamuziki wa Kenya Tanasha Donna

Read more
Burudani 

Tanasha Donna aomba usaidizi kwa niaba ya meneja wake

28 October 202028 October 2020 Marion Bosire 0 Comments AfricanCastro, Tanasha Donna

Mwanamuziki, mtangazaji na mwanamitindo wa nchi ya Kenya Tanasha Donna kupitia akaunti yake ya Instagram, aliomba usaidizi kwa niaba ya

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version