Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Wanawake wawili wakamatwa wakiwa na silaha hatari Jijini Nairobi
  • Mancity yavunja nuksi na kufuzu nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya tangu mwaka 2016
  • Maambukizi ya Covid-19 yanapenyenza katika kaunti zilizo nje ya zile zilizofungwa
  • Maafisa 11 wa usimamizi mtihani wakamatwa kwa udanganyifu
  • Vifo 26 zaidi vyaripotiwa Kenya kutokana na maradhi ya COVID-19
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Sofapaka Fc

Michezo 

Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade

14 April 2021 Dismas Otuke 0 Comments David Ouma, Elly Kalekwa, FKFPL, Sofapaka Fc

David Ouma ameteuliwa kuwa naibu kocha wa mabingwa wa ligi kuu mwaka 2009  Sofapaka inayoshiriki ligi kuu ya Kenya, akirejea

Read more
Michezo 

Kakamega homeboyz yaibwaga SOFAPAKA

21 March 2021 Dismas Otuke 0 Comments FKFPL, Kakamega Homeboyz, Sofapaka Fc

Kakamega Homeboyz FC walihitaji bao la mshambulizi wa Ghana Alex Opoku ili kusajili ushindi wa bao 1-0 nyumbani dhidi ya

Read more
Michezo 

Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF

28 February 202128 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, Bandari Fc, FKFPL, Kakamega Homeboyz, Kariobangi Sharks, Kcb, Sofapaka Fc, Ulinzi Stars

Miamba wa soka Kenya Afc Leopards walisajili ushindi wa pili mtawalia kwenye ligi kuu FKF chini ya kocha mpya Patrick

Read more
Michezo 

Sofapaka waongeza masaibu ya Zoo Fc baada ya kuwakung’uta 2-0 FKFPL

11 February 202110 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments FKFPL, Sofapaka Fc, ZOO FC

Klabu ya Sofaka ilirejelea tambo za ushindi na kuzidisha masaibu ya Zoo Fc ilipowachara mabao 2-0 katika mechi ya pekee

Read more
Michezo 

Ken Odiambo kuteuliwa kocha mpya wa SOFAPAKA

16 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments John Baraza, Sofapaka Fc

Mabingwa wa ligi kuu mwaka 2009 Sofapaka wanatarajiwa kumtangaza Ken Odhiambo kuwa kocha mpya kwa kandarasi ya kudumu, siku moja

Read more
Michezo 

Kalekwa aitaka serikali kuruhusu kuanza kwa ligi kuu ya FKF

5 November 20205 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Fkf Premier league, Kalekwa, Sofapaka Fc

Rais wa kilabu ya Sofapaka Elly Kalekwa ameitaka wizara ya afya na ile ya michezo kuruhusu kurejea kwa  soka humu

Read more
Michezo 

Sofapaka yamsajili Difenda Isaac Mitima kutoka APR kwa miaka mitatu

25 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments APR, Batoto Ba Mungu, Mitima Isaac, Sofapaka Fc

Miamba wa Soka nchini Kenya Sofapaka Fc wamekamilisha usajili wa difenda wa Rwanda Isaac Mitima kwa kondrati ya miaka mitatu

Read more
Michezo 

Mshambulizi wa Nigeria Karamor ajiunga na Sofapaka

23 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments Batoto Ba Mungu, fkf, Kpl, Lagos Athletico, Michael Karamor, Sofapaka Fc

Mabingwa wa ligi kuu ya Kenya mwaka 2018 Sofapaka Fc wamekamilisha usajili wa mshambulizi wa kutoka Nigeria Karamor Tuborlayefa Michael

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version