Skip to content
Friday, February 26, 2021
Latest:
  • Kenya Cup Kung’oa nanga Jumamosi kwa mechi 4
  • Uganda Hippos waing’ata Burkina Faso na kutinga nusu fainali AFCON U 20
  • Mamito apeleka ucheshi nchini Tanzania
  • Eric Omondi apimana nguvu na Diamond Platnumz
  • Jamii ya Ogiek yadai kubaguliwa katika usajili wa makurutu wa polisi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Simba sc

Michezo 

Simba amrarua mwarabu na kuongoza kundi A ligi ya mabingwa

23 February 202123 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, CAF, Simba sc

Simba Sports club wameweka hai matumaini ya kutinga robo fainali ya kombe la ligi ya mabingwa Afrika baada ya kuwachuna

Read more
Michezo 

Simba yaitafuna Vita hadharani

13 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AS Vita Club, CAF, Caf Champions league, Simba sc

Miamba wa soka nchini Tanzania,klabu ya Simba Sports club walianza vyema mechi za makundi za kuwania kombe la ligi ya

Read more
Michezo 

Simba SC tayari kumvaa Vita Club huko Kinsasha

11 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments AS Vita Club, CAF, Caf Champions league, Simba sc

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara Simba Sc wameanza mazoezi mjini Kinsasha  Alhamisi jioni  katika jamhuri ya Demokrasia ya

Read more
Michezo 

Onyango kucheza hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza

7 January 20217 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, fkf, Joash Onyango, Simba sc

Beki Kisiki Joash Abong’o  Onyango wa Kenya alijiunga na mabingwa wa Tanzania klabu ya Simba na ndani ya msimu wake

Read more
Michezo 

Simba anguruma na kuweka historia ya kutinga makundi ya ligi ya mabingwa

6 January 20216 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Champions league, Platinum, Simba sc, TFF

Klabu ya Simba imeandikisha historia baada ya kusajili wa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Platinum Fc ya Zimbabwe  na

Read more
Michezo 

Simba alenga kurudia Historia na kutinga makundi ya Ligi ya mabingwa

6 January 202123 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Simba sc, TFF

Timu ya Simba Sports  Club ya Tanzania inaazimia kufuzu kwa  hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika Jumatano jioni 

Read more
Michezo 

Joash Onyango awanusuru Simba kutafunwa na Yanga Derby ya Kariakoo

8 November 20208 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Kariakoo Derby, Simba sc, TFF, Vpl, Yanga

Beki kisiki wa Kenya Joash Onyango aliwanusuru wekundu wa Msimbazi Simba Sports club ,alipoachika bao la dakika ya 86 na

Read more
Michezo 

Yanga kuvaana na Simba ,Nani mtani wa Jembe ?

7 November 20207 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Kariakoo Derby, Simba sc, Vpl, Yanga

Miamba wa soka nchini Tanzania Young Africans  na mabingwa watetezi Simba watakabana koo Jumamosi kuanzia saa kumi na moja jioni

Read more
Michezo 

Simba atafunwa mbele ya mashabiki wa nyumbani

26 October 202026 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Azam United Fc, Simba sc, TFF, Vpl, Yanga

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara walipoteza mechi ya pili mtawalia baada ya kupigwa bao 1-0  nyumbani dhidi

Read more
Michezo 

Derby ya Simba na Yanga yaahirishwa

7 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Simba sc, TFF, Vpl, Yanga

Derby ya Kariakor baina ya timu za Simba na Yanga mchuano wa ligi kuu Tanzania bara uliokuwa uchezwa Oktoba 18

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version