Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • COVID-19: Visa vingine 331 vyathibitishwa Kenya, wagonjwa 3 wafariki
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Seth Panyako

Habari 

Wauguzi waagizwa kusitisha mgomo wao na kurejea kazini mara moja

24 February 2021 James Kombe 0 Comments KNUN, Mgomo, Seth Panyako, Wauguzi

Ni afueni kwa Wakenya baada ya chama cha kitaifa cha wauguzi (KNUN) kusitisha mgomo wa wauguzi uliodumu kwa karibu miezi

Read more
Habari 

Wauguzi watishia kuandaa maandamano ya kitaifa Jumatatu ijayo

21 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments KNUN, Peter Maroko, Seth Panyako

Wauguzi wametishia kuandaa maandamano katika matawi yote kote nchini kuanzia Jumatatu ili kushinikiza baraza la magavana kusikiliza malalamishi yao. Wauguzi

Read more
Habari 

KNUN: Magavana wanahujumu kurejea kazini kwa wauguzi

12 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments KNUN, Morris Opetu, Seth Panyako

Wauguzi wanawalaumu magavana kwa kuchelewesha kurejea kwao kazini kwa kukataa kutia saini makubaliano yalioafikiwa ya utaratibu wa kurejea kazini. Naibu

Read more
Habari 

Wauguzi wamsihi Rais Kenyatta kusuluhisha mzozo katika sekta ya afya

8 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments KNUN, Seth Panyako, Uhuru Kenyatta

Maafisa wa chama cha kitaifa cha wauguzi sasa wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati kukomosha mzozo unaokumba sekta ya afya.

Read more
Habari 

Madaktari kuanza mgomo wao Jumatatu huku wauguzi nao wakidinda kurejea kazini

20 December 202020 December 2020 James Kombe 0 Comments KMPDU, Madaktari, Mgomo, Mutahi Kagwe, Seth Panyako

Chama cha Kitaifa cha Madaktari na Wataalamu wa Meno (KMPDU) kimetangaza kuwa madaktari wote watagoma kuanzia Jumatatu baada ya mashauri na serikali

Read more
Habari 

Viongozi wa KNUN Muranga, Kiambu na Nyeri matatani kwa kuwakataza wauguzi kushiriki mgomo

9 December 20209 December 2020 James Kombe 0 Comments Kiambu, KNUN, Mgomo, Murang'a, Nyeri, Seth Panyako

Chama cha Kitaifa cha Wauguzi kimesema kitawasimamisha kazi wawakilishi wa chama hicho katika kaunti za Muranga, Kiambu na Nyeri kwa

Read more
Habari 

Huduma za afya zatatizwa huku mgomo wa wauguzi ukiingia siku ya pili

8 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Dr. Kariuki Gichuki, KNUN, Seth Panyako

Huduma zilitatizika kwa siku ya pili Jumanne kwenye hospitali za umma baada ya wauguzi na matabibu kugoma kote nchini wakilalamika

Read more
Habari 

Mgomo wa Wauguzi nchini waanza

7 December 20207 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, KNUN, Mgomo, Seth Panyako

Chama cha Kitaifa cha Wauguzi (KNUN) kimesisitiza kwamba mgomo wao uliopangwa kuanza Jumatatu bado ungalipo. Kwenye taarifa kwa vyumba vya

Read more
Habari 

Wahudumu wa Afya wakataa ripoti ya BBI

22 October 202022 October 2020 James Kombe 0 Comments Afya, BBI, KNUN, Seth Panyako

Wahudumu wa afya wamepuuzilia mbali pendekezo la ripoti ya BBI la kubuni tume yenye wanachama 10 ili kusimamia sekta ya

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version