Skip to content
Sunday, March 7, 2021
Latest:
  • Maseneta wa Marekani wapitisha mswada wa dola trilioni 1.9 za kukabiliana na athari za korona
  • Haji ataka kuchunguzwa kwa ghasia zilizoghubika chaguzi ndogo za Alhamisi
  • Baba Mtakatifu ataja itikadi kali kuwa ‘usaliti wa dini’
  • Visa 633 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • IEBC: Vitendo vya uhuni havitavumiliwa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Samburu

Habari 

Raila asimikwa mzee wa jamii ya Waduruma

6 March 20215 March 2021 Tom Mathinji 0 Comments BBI, Raila Odinga, Samburu

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amesimkwa kuwa Mzee wa Jamii ya Waduruma ,kwenye hafla iliyoandaliwa katika sehemu ya

Read more
Burudani 

Madonna azuru Kenya

11 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Jacaranda Schools, Madonna, Malawi, Pokot, Raising Malawi, Samburu

Mwanamuziki wa muda mrefu nchini Marekani Madonna alizuru Kenya na siku ya Jumamosi, alipachika video kwenye akaunti yake ya Instagram

Read more
Habari 

Watu wawili wauawa kwa kupigwa risasi Baragoi

24 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Baragoi, Boda boda, Samburu

Taharuki imetanda eneo la Baragoi katika kaunti ndogo ya Samburu kaskazini baada ya watu wawili kuuawa Jumatatu kwenye mashambulizi mawili

Read more
Habari 

Washukiwa wawili wanaswa wakisafirisha Misandali ya thamani ya shilingi milioni 12

24 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Mararal, Misandali, Samburu

Maafisa wa polisi na wale wa huduma ya kitaifa ya misitu-KFS waliwatia mbaroni washukiwa wawili waliopatikana wakisafirisha tani tatu za

Read more
Habari 

Watu 20 wakamatwa Samburu kufuatia msako wa kuhimiza kanuni za COVID-19

23 November 202023 November 2020 James Kombe 0 Comments Celina Lemakara, Covid-19, Maralal, Msako, Samburu

Watu 20 wamekamatwa baada ya kupatikana wakinywa pombe kwenye nyumba za kukodisha Jumapili usiku mjini Maralal katika kaunti ya Samburu. Naibu

Read more
Habari 

Shule ya Msingi ya Lporos huko Samburu yafungwa kwa hofu ya maambukizi ya Corona

11 November 2020 James Kombe 0 Comments Allan Omondi, Corona, Lporos, Samburu

Shule ya Msingi ya Lporos katika eneo la Maralal, Kunti ya Samburu imefungwa kwa muda baada ya mwalimu mmoja kuambukizwa

Read more
Habari 

Hospitali ya Maralal yarejelea huduma za matibabu baada ya mgomo wa wafanyikazi kusitishwa

9 November 20209 November 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Maralal, Samburu, Stephen Lekupe

Huduma za afya zimerejeshwa katika Hospitali ya Matibabu Maalum ya Maralal siku chache baada ya wafanyikazi kugoma kutaka mazingira yao

Read more
Habari 

Serikali kusuluhisha tatizo la jadi kuhusu ardhi kupitia utoaji hatimiliki

3 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Hatimiliki, KICC, Samburu, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa serikali inatatua tatizo la jadi  la maswala ya ardhi nchini kupitia mchakato kabambe wa kutoa hati za

Read more
Habari 

Shule yajengwa kuleta amani, Samburu,Laikipia na Pokot

17 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Laikipia, Pokot, Samburu, William Kamket

Shule moja iliyojengwa kwenye mpaka kati ya Samburu, Laikipia na Pokot inanuiwa kuhimiza amani miongoni mwa jamii ambazo zimezozana kwa

Read more
Habari 

Mtu mmoja auawa na fisi, watatu wajeruhiwa huko Samburu

28 September 2020 James Kombe 0 Comments Abdikadir Malicha, Fisi, Samburu

Mvulana mmoja ameaga dunia na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya kuvamiwa na fisi katika eneo la Suguta Marmar, Kaunti

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version