Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Shujaa yazidiwa maarifa na Argentina kwa mara tatu Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Republican

Kimataifa 

Afueni kwa Trump baada ya Bunge la Seneti kupungukiwa na kura za kumshitaki

14 February 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Marekani, Mitch MacConnel, Republican, Seneti

Bunge la Seneti la Marekani limekosa kufikisha thuluthi mbili ya kura ili kumshitaki aliyekuwa rais wa taifa hilo Donald Trump

Read more
Kimataifa 

Trump asema yuko tayari kwa mpito wa amani

8 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Nancy Pelosi, Republican

Rais wa Marekani Donald Trump ameelezea kujitolea kwake kuondoka afisini kwa njia ya amani. Huku akisema utawala mpya utaapishwa tarehe

Read more
Kimataifa 

Mitch McConnell akosoa wito wa Trump kuhusu msaada kwa waathiriwa wa COVID-19 Marekani

31 December 202031 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Democratic, Donald trump, Marekani, Mitch McConnell, Republican

Kiongozi wa chama cha Republican kwenye Bunge la Seneti nchini Marekani Mitch McConnell, amepuuzilia mbali wito wa kuongezwa kwa misaada

Read more
Burudani 

Mwanamuziki wa Marekani Offset akamatwa na polisi

26 October 2020 Marion Bosire 0 Comments Beverly Hills, Cardi B, Donald trump, Offset, Republican

Mwanamuziki wa mtindo wa kufokafoka nchini Marekani kwa jina Offset alikamatwa na polisi katika eneo la Beverly Hills jumamosi jioni

Read more
Kimataifa 

Seneta Ron Johnson wa chama wa Republican athibitishwa kuwa na Covid-19

4 October 20203 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Republican, Ron Johnson

Seneta wa chama cha Republican Ron Johnson amethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Covid-19 lakini yaonekana haonyeshi dalili za ugonjwa huo

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version