Skip to content
Sunday, March 7, 2021
Latest:
  • Haji ataka kuchunguzwa kwa ghasia zilizoghubika chaguzi ndogo za Alhamisi
  • Baba Mtakatifu ataja itikadi kali kuwa ‘usaliti wa dini’
  • Visa 633 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • IEBC: Vitendo vya uhuni havitavumiliwa
  • NCIC yawataka wanasiasa 10 kuandikisha taarifa kutokana na semi za chuki
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Rayvanny

Burudani 

Rayvanny aomba msamaha

5 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Bongo, Frida Kajala, Paula Kajala, Rayvanny, Tanzania, WCB

Msanii huyo wa Bongo alijipata pabaya yapata wiki mbili unusu zilizopita baada yake kuachia video yake na Paula Kajala wakibusiana.

Read more
Burudani 

“Sitaki mchezo kwa watoto wangu!” asema Shilole

3 March 20213 March 2021 Marion Bosire 0 Comments Fridah Kajala, Paula Kajala, Rayvanny, Shilole, Shishi Baby, Wasafi fm

Mwanamuziki wa Tanzania aliyepia mjasiriamali Zuena Yusuf Mohamed maarufu kama Shilole au Shishi amezungumzia jinsi analinda na kutunza mabinti zake

Read more
Burudani 

Sound from Segerea – Dullvani amtania Rayvanny

18 February 202117 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Dullvani, Rayvanny, Segerea Prison, Tanzania

Mchekeshaji na muigizaji wa Tanzania Dullvani ambaye jina lake halisi ni Abdallah Sultan amemkejeli msanii wa muziki Rayvanny kutokana na

Read more
Uncategorised 

Hamisa Mobeto na Rayvanny waachiliwa huru

17 February 202117 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Frida Kajala, Hamisa Mobeto, Harmonize, Oyster Police Station, Rayvanny

Wasanii wa Tanzania Hamisa Mobeto na Rayvanny wameachiliwa huru baada ya kulala usiku mmoja katika kituo cha polisi cha Oyster

Read more
Burudani 

Maoni ya Baba Levo

16 February 202116 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Baba Levo, Frida Kajala, Harmonize, P Funk Majani, Rayvanny, Wasafi fm

Msanii na mtangazaji wa Tanzania Baba Levo ametoa maoni yake kuhusu sakata ya msanii mweza Rayvanny na msichana kwa jina

Read more
Burudani 

Sound from Africa yaangaziwa kwenye mabango Marekani

2 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, New York, Rayvanny, Sound from Africa

Kazi ya hivi karibuni ya mwanamuziki wa Tanzania Rayvanny kwa jina “Sound from Africa” inaendelea kufanya vyema baada ya kuzinduliwa

Read more
Burudani 

Rayvanny azindua albamu yake mpya

1 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Rayvanny, Sound from Africa, Wasafi Media

Leo tarehe mosi mwezi Februari mwaka 2021, Raymond Shaban Mwakyusa mwanamuziki wa Tanzania maarufu kama Rayvanny amezindua albamu yake kwa

Read more
Burudani 

Rayvanny kuzindua albamu

19 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Bongo Fleva, Rayvanny, Tanzania, Vanny Boy, WCB

Msanii wa Bongo Fleva Raymond Shaban Mwakyusa almaarufu Rayvanny ama ukipenda vanny Boy ametangaza kwamba ataachilia albamu yake ya kwanza

Read more
Burudani 

Eric Omondi na Sauti Sol wang’ara kwenye tuzo za AEAUSA

21 December 202021 December 2020 Marion Bosire 0 Comments AEAUSA, Diamond Platnumz, Eric Omondi, Eunice Mamito, Rayvanny, Sauti Sol

Wasanii wa Kenya Eric Omondi ambaye ni mchekeshaji na kundi la wanamuziki la Sauti Sol ndio wasanii pekee wa Kenya

Read more
Burudani 

Ni ushauri tu, Baba Levo baada ya kumchamba Harmonize

14 December 202014 December 2020 Marion Bosire 0 Comments Ali Kiba, Baba Levo, Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Wasafi fm, WCB

Mwanamuziki na mtangazaji wa Tanzania Baba Levo anasema kwamba yeye hana ubaya na mwanamuziki Harmonize na kwamba yeye anampa ushauri

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version