Skip to content
Saturday, March 6, 2021
Latest:
  • “Siku moja naitwa nyota, siku nyingine nakuwa tishio” Amanda Gorman
  • Mahakama ya Kericho yafungwa kwa muda
  • Shule kufunguliwa tena Msumbiji baada ya kufungwa kwa mwaka mmoja
  • Mwanaume ampokonya polisi bastola na kuwaua watu wawili Kisumu
  • Raila asimikwa mzee wa jamii ya Waduruma
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Raja Casablanca

Michezo 

Zamalek waipakata Raja Casablanca na kutinga fainali ya ligi ya mabingwa

5 November 20205 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Zamalek

Zamelek walijikatia tiketi kucheza derby ya fainali kuwania kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika kufuatia ushindi mkubwa wamabao 3-1

Read more
Michezo 

Zamalek na Raja kumaliza udhia Jumatano

4 November 20204 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Washindi  mara tano wa ligi ya mabingwa barani Afrika ,Zamalek watawaalika Raja Casablanca katika duru ya pili ya nusu fainali

Read more
Michezo 

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Caf ni Novemba 27

31 October 202030 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Fainali ya kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika itaandaliwa  Novemba 27  katika uwanja wa Borg Al Arab Stadium mjini  Alexandria,Misri.

Read more
Michezo 

Fainali ya ligi ya mabingwa Afrika yaahirishwa na Caf

30 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Shirikisho la kandanda Afrika Caf limelazimika kuarisha fainali ya ligi ya mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6  kwa sababu zisizoweka kuepukika.

Read more
Michezo 

Caf yalizimika kuaahirisha mechi ya Zamalek na Raja Casablanca

23 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Raja Casablanca, Zamalek

Shirikisho la soka Afrika Caf limelazimika kuahirisha marudio ya nusu fainali kati ya Zamalek ya Misri dhidi ya Raja Casablanca

Read more
Michezo 

Raja Casablanca walimwa nyumbani na Zamalek

19 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Caf Champions league, Raja Casablanca, Zamalek

Miamba wa soka nchini Misri Zamalek walijiweka katika nafasi nzuri ya kutinga fainali ya kipute cha ligi ya mabingwa Africa

Read more
Michezo 

KBC channel 1 kupeperusha Nusu fainali za mataji ya CAF baina ya vilabu

16 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Al Ahly, Caf Champions league, Caf Confed Cup, Pyramids, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Zamalek

Wapenzi wa soka nchini watapata fursa ya kushuhudia mbashara  nusu fainali  za ligi ya barani Afrika na . Runinga ya

Read more
Michezo 

Raja Casablanca yatwaa taji ya ligi kuu Moroko

13 October 202013 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Moroko Botola, Raja Casablanca

Kilabu ya Raja Casablanca  ilitwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Moroko maarufu kama Botola ,Jumapili iliyopita wakati wa mechi za

Read more
Michezo 

Caf yaahirisha nusu fainali za ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho

15 September 202015 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments Ac Horoya, Al Ahly, Berkane, Caf Champions league, Caf Confed Cup, Hassania Agadir, Pyramids Fc, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Zamalek

Shirikisho la soka barani Afrika Caf limeahirisha siku za kuchezwa kwa nusu fainali za ligi ya mabingwa na kombe la

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version