Skip to content
Wednesday, January 20, 2021
Latest:
  • Mwanamke anayedaiwa kuiba kompyuta ya Spika Pelosi Marekani atiwa nguvuni
  • Zaidi ya waendeshaji boda boda 4,000 kupewa leseni za kidijitali
  • Watu 81 waambukizwa virusi vya Corona
  • Ngilu amkemea Ruto kwa kudai kwamba Kalonzo alinyakua ardhi ya Yatta
  • Wanariadha 6 wanufaika na msaada wa masomo kutoka kwa ANOCA
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Rais Uhuru Kenyatta

Habari 

Uhuru: Niko tayari kuitumikia nchi tena baada ya kustaafu

18 January 2021 James Kombe 2 Comments BBI, Coro FM, Mlima Kenya, Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kuitumikia nchi hii katika wadhifa wowote atakapostaafu urais mwaka wa 2022. “Sina nia ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta ampongeza Museveni kwa kuhifadhi kiti cha urais nchini Uganda

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Bobi Wine, Rais Uhuru Kenyatta, uganda, Yoweri Museveni

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Uganda. Siku ya Jumamosi, Tume ya Uchaguzi nchini

Read more
Habari 

Rais Kenyatta akutana na Waziri kutoka Japan katika Ikulu ya Nairobi

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Ikulu, Japan, Rais Uhuru Kenyatta, Toshimitsu Motegi

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Japan anayezuru humu nchini, Toshimitsu Motegi, katika Ikulu ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta akagua miradi mbali mbali ya maendeleo

10 January 2021 James Kombe 0 Comments Bandari, Jenerali Robert Kibochi, Kisumu, MGR, Raila Odinga, Rais Uhuru Kenyatta, SGR

Rais Uhuru Kenyatta amekagua miradi kadhaa ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya Kitaifa. Kiongozi wa taifa amezuru Bandari ya Kisumu

Read more
Habari 

Rais Kenyatta ajiunga na familia ya Mkurugenzi Mkuu wa NYS Matilda Sakwa katika maombolezo

6 January 20216 January 2021 James Kombe 0 Comments Florence Oyiela Sakwa, Matilda Pamela Sakwa, NYS, Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ametuma risala za rambirambi kwa familia ya Florence Oyiela Sakwa aliyeaga dunia jana alipokuwa akitibiwa katika hospitali

Read more
Habari 

Kuria amtaka Rais aunde kamati ya Bunge ili kuokoa mapendekezo muhimu ya BBI

6 January 20216 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Gatundu, Moses Kuria, Rais Uhuru Kenyatta

Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria, sasa anamtaka Rais Uhuru Kenyatta kubuni kamati maalum ya Bunge ili kujadili namna ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta aongeza kafyu hadi mwezi Machi

3 January 2021 James Kombe 0 Comments Dkt. Fred Matiang'i, Kafyu, KICC, Profesa George Magoha, Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ameongeza muda wa kafyu hadi tarehe 12 mwezi Machi mwaka huu. Hii inafuatia kumalizika kwa muda wa

Read more
Habari 

Rais Kenyatta amuomboleza Askofu David Nguli Kalua

13 December 202013 December 2020 James Kombe 0 Comments Askofu David Nguli Kalua, Dkt. Isaac Kalua, Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ametuma ujumbe wa faraja kwa familia, jamaa na marafiki wa Askofu David Nguli Kalua aliyeaga dunia Ijumaa

Read more
Habari 

Rais Kenyatta ampongeza Rais wa Ghana Akufo-Addo kwa kuchaguliwa tena

10 December 2020 James Kombe 0 Comments Akufo-Addo, Ghana, John Mahama, Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza mwenzake wa Ghana Nana Akufo-Addo kwa kuchaguliwa kwa kipindi cha pili nchini humo. Rais Kenyatta amesema

Read more
Habari 

COVID-19: Watu 302 zaidi waambukizwa huku wagonjwa 17 wakifariki

30 November 2020 James Kombe 0 Comments Chanjo, Covid-19, KEMRI, Mutahi Kagwe, Rais Uhuru Kenyatta, Wizara ya Afya

Kenya imeripoti visa 302 vya maambukizi ya COVID-19 kutokana na upimaji wa sampuli 3,038 katika muda wa masaa 24 yaliyopita.

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version