Skip to content
Saturday, March 6, 2021
Latest:
  • Mahakama ya Kericho yafungwa kwa muda
  • Shule kufunguliwa tena Msumbiji baada ya kufungwa kwa mwaka mmoja
  • Mwanaume ampokonya polisi bastola na kuwaua watu wawili Kisumu
  • Raila asimikwa mzee wa jamii ya Waduruma
  • Ardhi yahusishwa na changamoto za usalama hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Rais Kenyatta

Habari 

Rais Kenyatta ahimiza ushirikiano miongoni mwa viongozi, Wakenya

31 January 202131 January 2021 James Kombe 0 Comments Arch Angel Michael, Chaka, Mlima Kenya, Nyeri, Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza kuwepo kwa umoja miongoni mwa viongozi na Wakenya kwa jumla ili kuafikia ajenda za maendeleo kote

Read more
Habari 

Rais Kenyatta, viongozi wengine waifariji familia ya Mudavadi kufuatia kifo cha Mama Hannah Mudavadi

28 December 2020 James Kombe 0 Comments ANC, Hannah Mudavadi, Musalia MUdavadi, Raila Odinga, Rais Kenyatta, William Ruto

Rais Uhuru Kenyatta ametuma risala ya rambi rambi na faraja kwa familia ya Mudavadi kufuatia kifo cha mama Hannah Atsianzale

Read more
Habari 

Kenya yahitaji shilingi bilioni 6.2 kupambana na mabadiliko ya anga

13 December 202013 December 2020 James Kombe 0 Comments Anga, Covid-19, Paris, Rais Kenyatta, Ukame

Rais Uhuru Kenyatta amesema Kenya inahitaji takriban shilingi bilioni 6.2 kutekeleza hatua za kujinusuru kutokana na mabadiliko ya hali ya

Read more
Habari 

Rais wa Somaliland atua Kenya kwa mashauriano na Rais Kenyatta

13 December 2020 James Kombe 0 Comments Ababu Namwamba, Musa Bihi Abdi, Peter Munya, Rais Kenyatta, Somaliland

Rais wa eneo la Somaliland, Musa Bihi Abdi amewasili humu nchini leo alasiri na kulakiwa na Waziri wa Kilimo Peter

Read more
Habari 

Rais Kenyatta atoa hati ya kibali kwa Chuo Kikuu cha Presbyterian

3 December 2020 James Kombe 1 Comment Elimu, Hati, Presbyterian, Rais Kenyatta

Taasisi ya Elimu ya Juu ya Presbyterian of East Africa sasa imekuwa Chuo Kikuu kamili baada ya kupewa hati ya

Read more
Habari 

Zoezi la ukusanyaji saini lang’oa nanga huku Rais Kenyatta akihimiza Wakenya kuunga mkono BBI

25 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Katiba, KICC, Raila Odinga, Rais Kenyatta

Safari ya marekebisho ya katiba imeanza rasmi Jumatano kufuatia uzinduzi wa shughuli ya ukusanyaji saini kwenye hafla iliyoongozwa na Rais

Read more
Habari 

Ukusanyaji saini za BBI kuanza rasmi leo

25 November 202025 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Dennis Waweru, Junet Mohamed, KICC, Raila Odinga, Rais Kenyatta

Uzinduzi wa zoezi la kukusanya saini kwa ajili ya mswada wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano ya kitaifa,

Read more
Habari 

Bunge la Seneti kujadili hotuba ya Rais

17 November 202017 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta, Seneti

Bunge la Seneti leo linatarajiwa kujadili hotuba ya kuhusu hali ya taifa la Kenya iliyotolewa na Rais Uhuru Kenyatta Alhamisi

Read more
Habari 

Rais Kenyatta ataka mazungumzo ya amani kukomesha mzozo nchini Ethiopia

17 November 202017 November 2020 James Kombe 0 Comments Ababu Namwamba, Abiy Ahmed, Demeke Mekonen, Ethiopia, Rais Kenyatta, Raychelle Omamo

Rais Uhuru Kenyatta amejiunga na viongozi wengine wa kimataifa kutaka mapigano kaskazini mwa Ethiopia yakomeshwe kupitia njia ya mazungumzo. Kwenye

Read more
Habari 

Rais Kenyatta amuomboleza Mbunge wa Matungu Justus Murunga

15 November 202015 November 2020 James Kombe 0 Comments Justus Murunga Makokha, Matungulu, Mumias, Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ametuma risala za rambirambi kwa familia, jamaa, marafiki na wakazi wa Eneo-Bunge la Matungulu kufuatia kifo cha

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version