Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wauguzi watishia kuandaa maandamano ya kitaifa Jumatatu ijayo
  • Mbunge wa Tiaty William Kamket aachiliwa huru
  • Visa vipya 186 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Wahamiaji 43 wakufamaji katika bahari ya Mediterranean
  • Wafanyibiashara Ngara wakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Olunga

Michezo 

Olunga ajiuanga Al Dhuhail Fc ya Qatar

12 January 202112 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Al Dhuhail Sc, fkf, Olunga

Mshambulizi wa Harambee Stars Michael Olunga amejiunga na Al Dhuhail Sports Club ya Qatar akitokea  Kashiwa Reysol ya Japan aliyoichezea

Read more
Michezo 

Olunga aibuka mchezaji bora MVP ligi kuu Japan

22 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments j1 league, Kashiwa Reysol, Olunga

Mshambulizi wa Kenya Michael Olunga ametawazwa mchezaji bora katika ligi kuu ya Japan  kwenye tuzo za ligi hiyo maarufu kama

Read more
Michezo 

Olunga aibuka mfungaji bora ligi kuu Japan kwa mabao 28

19 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Jleague 1, Michael Olunga, Olunga

Michael Olunga Ogada ametawazwa mfungaji bora ligi kuu nchini Japan huku msimu wa ligi hiyo ukifikia tamati mapema Jumamosi akifunga

Read more
Michezo 

Olunga atawazwa mfungaji bora ligi kuu Japan kwa kupiga bao la 27

16 December 202016 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, fkf, Jleague 1, Kashiwa Reysol, Kenya, Olunga

Mshambulizi wa Harambee Stars Michael   Olunga  amejihakikishia kunyakua tuzo ya mfungaji bora katika ligi kuu  nchini Japan  msimu huu,

Read more
Michezo 

Olunga anusia taji ya mfungaji bora Japan

10 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments Kashiwa Reysol, Olunga

Mshambulizi wa Harambee Stars Michael olunga aliendeleza harakati zake za kuwania tuzo ya mfungaji bora katika ligi kuu nchini Japan

Read more
Michezo 

Wakenya wanaosakata soka ya kulipwa ugaibuni wasajili matokeo mseto wikendi

14 September 20203 October 2020 Dismas Otuke 0 Comments j1 league, Kashiwa Reysol, Misr Fc, MLS, Montreal Impact, Olunga, Simba sc, Wanyama

Nahodha wa Kenya Victor Wanyama amecheza dakika zote 90 mapema leo ,huku timu yake ya Montreal Impact ikiandikisha ushindi wa

Read more
Michezo 

Olunga afunga lakini wazidiwa nguvu

13 September 202013 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments J1, Kashiwa Reysol, Olunga

Fowadi matata wa Harambee Stars Michael Olunga alifunga bao la pekee la kipindi cha kwanza kwa timu yake ya Kashiwa

Read more
Michezo 

Olunga ashinda tuzo ya mwanasoka bora Japan mwezi Agosti

11 September 202012 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments J1, Kashiwa Reysol, Olunga

Mshambulizi wa Harambee stars Michael Olunga ametawazwa mwanasoka bora wa wmezi uliopita katika ligi kuu ya Japan J1. Olunga alitamba

Read more
Michezo 

Olunga afunga bao la 15 katika ushindi wa Kashiwa Reysol

9 September 20209 September 2020 Dismas Otuke 0 Comments J leahue 1, Kashiwa Reysol, Olunga

Mshambulizi wa Harambee Stars Michael Olunga amerejea kwa vishindo leo na kufunga bao lake la 15 huku timu yake ya

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version