Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

ODM

Habari 

Raila asema BBI ndio suluhisho kwa changamoto za kihistoria

13 January 202113 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, ODM, Raila Odinga

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesisitiza kuwa mchakato wa BBI ndio sulushisho kwa changamoto zinazolikabili taifa hili tangu uhuru. Kulingana

Read more
Habari 

Joho awataka viongozi wasioridhika na chama cha ODM wahame

4 January 20214 January 2021 James Kombe 0 Comments Ali Hassan Joho, Mombasa, ODM, Pwani, Ruto

Naibu wa kiongozi wa chama cha ODM Hassan Ali Joho amewadiriki viongozi wa Pwani ambao hawaridhiki na uongozi wa chama

Read more
Habari 

Wanaotaka kuwania wadhifa wa gavana wa Nairobi na ODM kutuma maombi

26 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Catherine Mukeya Mumma, Nairobi, ODM

Chama cha   “Orange democratic movement”- (ODM) kimetoa wito kwa wakenya wanaotaka kuwania wadhifa wa gavana wa Nairobi kuwasilisha maombi yao kufikia adhuhuri  siku ya Jumatatu

Read more
Habari 

Raila akosoa kauli kwamba ODM imepoteza umaarufu Pwani

17 December 2020 James Kombe 0 Comments Feisal Bader, Msambweni, ODM, Omar Boga, Raila Odinga

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amepuzilia mbali madai kuwa umaarufu wa chama chake unadidimia katika eneo la Pwani.

Read more
Habari 

Feisal Abdalla Badar ashinda kiti cha ubunge cha Msambweni

16 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Feisal Abdalla, ODM, Omari Boga

Feisal Abdalla Badar amechaguliwa mbunge wa Msambweni katika kaunti ya Kwale. Hii ni baada ya mwaniaji huru huyo kuwabwaga wawaniaji

Read more
Habari 

Jamvi la kampeni lakunjwa Msambweni huku uchaguzi mdogo ukinukia

13 December 202013 December 2020 James Kombe 0 Comments Ali Hassan Joho, Feisal Bada, Msambweni, ODM, Omari Boga, Salim Mvurya

Muda wa kampeni za uchaguzi mdogo katika Eneo Bunge la Msambweni umefika tamati usiku wa manane kabla kuandaliwa kwa uchaguzi

Read more
Habari 

Joho ahimiza Wapwani kuunga mkono BBI

18 November 202018 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Hassan Joho, Kwale, Mombasa, Msambweni, ODM

Gavana wa Kaunti ya Mombasa, Hassan Joho, amewahimiza wakazi wa Pwani kuunga mkono mchakato wa jopo la BBI kwa manufaa

Read more
Habari 

Sharlet Mariam ajitoa kwenye uchaguzi mdogo wa Msambweni

11 November 2020 James Kombe 0 Comments Jubilee, Msambweni, ODM, Omar Boga, Sharlet Mariam, Uchaguzi mdogo

Mgombea huru Sharlet Mariam amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo katika Eneo Bunge la Msambweni utakaofanyika tarehe 15 mwezi Disemba, mwaka huu.

Read more
Habari 

Mwakilishi wadi ya Kiamokama katika bunge la kaunti ya Kisii Kennedy Mainya ameaga dunia

1 November 20201 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Kennedy Mainye, Kisii, ODM

Biwi la huzuni na simanzi limetanda katika wadi ya Kiamokama baada ya mwakilishi wadi hiyo katika bunge la kaunti ya

Read more
Habari 

Kesi ya mauaji dhidi ya Aisha Jumwa yakosa kung’oa nanga

22 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Aisha Jumwa, Geoffrey Otieno, Malindi, Njoki Mwangi, ODM

Kesi ya mauaji dhidi ya mbunge wa Malindi Aisha Jumwa ilikosa kung’oa nanga baada ya afisi ya mashtaka ya umma

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version