Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • COVID-19: Visa vingine 331 vyathibitishwa Kenya, wagonjwa 3 wafariki
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Nyeri

Habari 

Rais Kenyatta ahimiza ushirikiano miongoni mwa viongozi, Wakenya

31 January 202131 January 2021 James Kombe 0 Comments Arch Angel Michael, Chaka, Mlima Kenya, Nyeri, Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza kuwepo kwa umoja miongoni mwa viongozi na Wakenya kwa jumla ili kuafikia ajenda za maendeleo kote

Read more
Habari 

Afisa wa KDF ashtakiwa kwa kumnajisi msichana wa miaka 16 Nyeri

6 January 20216 January 2021 James Kombe 0 Comments DCI, Kariaini, KDF, Martin Kabura, Nyeri, Othaya

Afisa mmoja wa Vikosi vya Ulinzi nchini (KDF) amefikishwa Mahakamani huko Nyeri ambako ameshtakiwa kwa madai ya kumnajisi msichana mwenye

Read more
Michezo 

Uwanja wa Ruring’u kuwa tayari ifiakiapo Juni mwaka ujao

15 December 202015 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments AK@70, Mutahi Kahiga, Nyeri, Ruring'u

Gavana wa kaunti ya  Nyeri Mutahi Kahiga ameahidi kukalimisha ujenzi wa uwanja wa Ruring’u  ifikiapo mwezi Juni mwaka ujao  ili

Read more
Habari 

Wamiliki wa shule za kibinafsi wafurahishwa na mpango wa shule kufunguliwa Januari

14 December 202014 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Lincoln Njogu, Nyeri, Shule

Wamiliki wa shule za kibinafsi wameunga mkono agizo la Rais Uhuru Kenyatta la kufunguliwa tena kwa shule tarehe nne mwezi

Read more
Habari 

Viongozi wa KNUN Muranga, Kiambu na Nyeri matatani kwa kuwakataza wauguzi kushiriki mgomo

9 December 20209 December 2020 James Kombe 0 Comments Kiambu, KNUN, Mgomo, Murang'a, Nyeri, Seth Panyako

Chama cha Kitaifa cha Wauguzi kimesema kitawasimamisha kazi wawakilishi wa chama hicho katika kaunti za Muranga, Kiambu na Nyeri kwa

Read more
Habari 

Mbunge wa Mathira Rigathi Gachagua akamatwa na kuhojiwa na maafisa wa DCI

27 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments ARA, DCI, Nyeri, Rigathi Gachagua

Mbunge wa Mathira, Rigathi Gachagua,  alikamatwa Jumatatu jioni na kupelekwa katika  Idara ya  Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuhojiwa

Read more
Habari 

Serikali kushirikiana na Kanisa katika utoaji huduma kwa Wakenya

25 October 2020 James Kombe 0 Comments Kanisa, Nyeri, PCEA, Rais Uhuru Kenyatta, Tumutumu

Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia Wakenya kwamba serikali yake itaendelea kushirikiana na kanisa katika kuwahudumia Wakenya. Rais amesema kwa miaka mingi

Read more
Habari 

Mahasla wa Nyeri wazima Reggae ya Kalonzo

25 October 202025 October 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Kalembe Ndile, Kalonzo Musyoka, Nyeri, Wiper

Juhudi za Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka za kupigia debe mpango wa maridhiano ya kitaifa BBI katika kaunti

Read more
Habari 

Hofu yatanda baada ya mama na watoto wawili kuuawa kwenye duka lao Nyeri

22 October 2020 James Kombe 0 Comments Adriel Nyange, Karatina, Nyeri

Hofu na majonzi viligubika eneo la Jambo mjini Karatina katika Kaunti ya Nyeri baada ya mama, bintiye na mpwa wake

Read more
Habari 

Viongozi wa Makanisa watakiwa kukomesha siasa katika ibada

20 October 202020 October 2020 James Kombe 0 Comments Maaskofu, Makanisa, Nyeri, Stanley Michael Michuki, Wachungaji

Viongozi wa makanisa wametakiwa kukoma kuwapa wanasiasa kipau mbele wanapohudhuria ibada au hafla nyingine za kidini. Askofu Stanley Michael Michuki

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version