Skip to content
Thursday, March 4, 2021
Latest:
  • Stars yaendeleza mazoezi kujiandaa kukabiliana na Misri na Togo
  • Lupita Nyong’o aanzisha kipindi cha watoto
  • Upigaji kura wang’oa nanga kwenye chaguzi ndogo za Matungu, Kabuchai na wadi kadhaa
  • Mahakama yaongeza muda wa kuzuia kuongezwa kwa ada ya kuegesha magari Nairobi
  • Vijana waongezewa muda wa kuendelea na Kazi Mtaani
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Nyandarua

Habari 

Pande hasimu zasababisha ghasia katika bunge la kaunti ya Nyandarua

23 February 2021 Tom Mathinji 0 Comments Francis Kimemia, Ndegwa Wahome, Nyandarua

Vurugu zilizuka Jumanne alasiri katika bunge la kaunti ya Nyandarua baada ya kundi la wanaume waliokuwa wamevalia suti nyeusi kuvamia

Read more
Habari 

Wanakandarasi wazembe kuondolewa kwenye sajili

29 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Lawrence Karanja, Nyandarua, Ol Kalou

Idara ya ustawi wa biashara na viwanda imetishia kuwaondoa kwenye sajili wanakandarasi na wasambazaji bidhaa ambao wanajikokotota kutekeleza miradi ya

Read more
Habari 

Mwanafunzi akiri mashtaka ya kumshambulia mwalimu wake Nyandarua

21 January 202121 January 2021 James Kombe 0 Comments James Gikonyo, James Wanyanga, Moses Gitahi, Murichu, Nyandarua, Samuel Migwi Muigai

Mwanafunzi wa kidato cha tatu kutoka Shule ya Upili ya Murichu, Kaunti ya Nyandarua, amekubali mashtaka ya kumshambulia mwalimu wake.

Read more
Habari 

Watoto wa Nyandarua hawakui licha ya vyakula vingi kupatikana huko

23 November 202023 November 2020 James Kombe 0 Comments Dkt. John Mungai, Lishe bora, Nyandarua, Utapia mlo

Serikali ya Kaunti ya Nyandarua imeibua wasi wasi kuhusu ongezeko la visa vya utapia mlo miongoni mwa watoto katika eneo

Read more
Habari 

Wito watolewa wa kesi za washukiwa ziandaliwe kupitia njia ya video

20 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Daniel Nyamiti, Laikipia, Nyandarua, Thomson falls

Kamishna wa kaunti ya Laikipia Daniel Nyamiti amependekeza kesi za washukiwa walio korokoroni zishughulikiwe kwa njia ya video. Kulingana na

Read more
Habari 

NCPD yashirikiana na viongozi wa kidini kukabiliana na mimba za mapema Nyandarua

30 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Enock Obuol, NCPD, Nyandarua

Baraza la kitaifa kuhusu idadi ya watu na maendeleo NCPD, limeshirikiana na viongozi wa kidini katika kaunti ya Nyandarua kukabiliana

Read more
Habari 

Polisi wamsaka tapeli anayejifanya Kamishna wa Kaunti ya Nyandarua

21 October 202021 October 2020 James Kombe 0 Comments Benson Lepar-Morijo, Kamishna, Nyandarua, tapeli

Polisi katika Kaunti ya Nyandarua wanamsaka mtu anayedaiwa kuwatapeli wananchi akijifanya kuwa ndiye Kamishna wa Kaunti hiyo. Kamishna halisi wa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version