Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

New York

Burudani 

Babake Nicki Minaj auawa kwenye ajali

15 February 202115 February 2021 Marion Bosire 0 Comments America, Mineola, New York, Nicki Minaj, Robert Maraj

Baba huyo kwa jina Robert Maraj, wa miaka 64 wa mwanamuziki Nicki Minaj, aliaga dunia Jumamosi baada ya kugongwa na

Read more
Burudani 

Sound from Africa yaangaziwa kwenye mabango Marekani

2 February 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, New York, Rayvanny, Sound from Africa

Kazi ya hivi karibuni ya mwanamuziki wa Tanzania Rayvanny kwa jina “Sound from Africa” inaendelea kufanya vyema baada ya kuzinduliwa

Read more
Habari 

Bendera ya Kenya kupeperushwa New York

4 January 2021 James Kombe 0 Comments Bendera, Kenya, New York, Umaja wa Mataifa

Bendera ya Kenya leo usiku itapeperushwa nje ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. Kulingana na Wizara

Read more
Burudani 

Lil Wayne kusomewa hukumu mwakani

14 December 202014 December 2020 Marion Bosire 0 Comments America, Lil Wayne, Miami, New York

Mwanamuziki wa nchi ya Marekani Lil Wayne kwa jina halisi Dwayne Carter atafahamu hukumu yake mwezi Januari mwaka ujao wa

Read more
Habari 

Kenya Airways yarejelea safari za ndege kutoka Nairobi hadi New York

1 December 20201 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Allan Kilavuka, Kenya Airways, KQ, New York

Shirika la ndege la Kenya Airways limerejela safari za ndege za moja kwa moja kutoka Nairobi kuelekea Jijini New York

Read more
Habari 

Rais Kenyatta aratibiwa kuzungumza katika kikao cha 75 cha Umoja wa Mataifa

21 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments New York, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ameratibiwa kuzungumza Jumatatu jioni kwenye kikao cha 75 cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Mkutano huo

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version