Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Nairobi

Habari 

Mifereji ya Nairobi kukauka Jumatano, Alhamisi

1 February 20211 February 2021 James Kombe 0 Comments Kabete, Maji, Nahason Muguna, Nairobi

Usambazaji wa maji katika baadhi ya sehemu za Kaunti ya Nairobi utakatizwa Jumatano na Alhamisi kutokana na shughuli za ukarabati

Read more
Habari Uncategorised 

Raila apigia debe ripoti ya BBI Githurai

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Githurai, Nairobi, Raila Odinga

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amepeleka kampeni za kupigia debe mpango wa maridhiano wa BBI katika eneo la

Read more
Habari 

Anne Kananu sasa ndiye Kaimu Gavana wa Nairobi

18 January 2021 James Kombe 0 Comments Anne Kananu, Benson Mutura, Nairobi

Siku tatu tu baada ya kuapishwa kuwa Naibu Gavana wa Kaunti ya Nairobi, Anne Kananu Mwenda amepanda ngazi na kuwa

Read more
Habari 

LSK yapinga vikali kuapishwa kwa Kananu kuwa Naibu Gavana wa Nairobi

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Anne Kananu, LSK, Nairobi, Nelson Havi

Chama cha Wanasheria humu nchini (LSK) kimesema kitawasilisha kesi mahakamani kupinga hatua ya kuapishwa kwa Anne Kananu Mwenda kuwa Naibu

Read more
Michezo 

Kenya kuwania maandalizi ya mashindano ya dunia ya mwaka 2025

10 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments AK, Nairobi, world athletics

Kenya inatarajiwa kutuma maombi ya kuandaa mashindano ya riadha ya dunia ya mwaka 2025 kufuatia shirikisho la riadha duniani kutangaza

Read more
Habari 

NMS yazindua mpango wa kutoa misaada ya barakoa shuleni

7 January 2021 James Kombe 0 Comments Barakoa, Kwa Reuben, Nairobi, Nms, Our Lady

Halmashauri ya Usimamizi wa Huduma katika Jiji la Nairobi, NMS, imezindua shughuli ya utoaji barakoa shuleni ikilenga shule zote za

Read more
Habari 

Afueni kwa Sonko baada ya Mahakama kusimamisha uchaguzi mdogo wa ugavana Nairobi

4 January 2021 James Kombe 0 Comments Gavana, Iebc, Mahakama, Mike Sonko, Nairobi

Mahakama Kuu Jijini Nairobi imesimamisha maandalizi ya uchaguzi mdogo wa ugavana katika Kaunti ya Nairobi. Mahakama hiyo imeamuru kusitishwa kwa

Read more
Habari 

Kadinali Njue ajiuzulu wadhifa wa Askofu Mkuu wa Nairobi

4 January 2021 James Kombe 0 Comments Baba Mtakatifu Francis, Kadinali John Njue, Katoliki, Nairobi

Kadinali John Njue amejiuzulu kutoka wadhifa wa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Nairobi. Kadinali Njue amejiuzulu baada

Read more
Habari 

Afisa wa Polisi auawa kwa kupigwa risasi baada ya kumuuwa afisa mwenza

3 January 20213 January 2021 James Kombe 0 Comments Kamukunji, Maureen Achieng, Nairobi, Polisi, Rashid Yakub

Afisa wa polisi mwenye utovu wa maadili ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kumuuwa afisa mwenzake kwenye makabiliano katika eneo

Read more
Habari 

Afisa wa Polisi akamatwa Gigiri baada ya kumuua rafikiye kwa kumtandika risasi kumi

30 December 202030 December 2020 James Kombe 0 Comments Edgar Mokamba, Gigiri, Nairobi, Nyari, Polisi, Rashid Yakub

Afisa mmoja wa polisi amekamatwa baada ya kumuua rafikiye kwa kumpiga risasi walipogombana katika eneo la Gigiri, Jijini Nairobi. Afisa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version