Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wauguzi watishia kuandaa maandamano ya kitaifa Jumatatu ijayo
  • Mbunge wa Tiaty William Kamket aachiliwa huru
  • Visa vipya 186 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Wahamiaji 43 wakufamaji katika bahari ya Mediterranean
  • Wafanyibiashara Ngara wakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Mutahi Kagwe

Habari 

Visa vipya 186 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini

21 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Visa 186 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa  COVID-19 vimeripotiwa kutokana na sampuli 8,049 zilizopimwa katika muda wa saa  24.

Read more
Habari 

Ni mwanafunzi mmoja aliyeambukizwa covid-19 tangu kufunguliwa kwa shule

20 January 202120 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Wizara ya afya imesema ni kisa kimoja pekee cha maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 kimeripotiwa miongoni mwa wanafunzi tangu shule

Read more
Habari 

Wagonjwa wawili zaidi wafariki kutokana na Covid-19 hapa nchini

16 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Nchi hii imenakili visa 223 vipya vya Covid-19 baada ya kupimwa kwa sampuli  7,748 katika muda wa saa 24 zilizopita.

Read more
Habari 

Watu 166 zaidi waambukizwa Covid-19 hapa nchini

15 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Kenya imenakili visa 166 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 baada ya kupimwa kwa sampuli 7,077 katika muda wa

Read more
Habari 

Visa 138 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa humu nchini

14 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Visa 138 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 vimenakiliwa hapa nchini na kufikisha idadi jumla ya maambukizi kuwa 98,693.

Read more
Habari 

Watu 123 wathibitishwa kuambukizwa COVID-19, huku wagonjwa 412 wakipona

13 January 202113 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Mutahi Kagwe, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imenakili visa vipya 123 vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 na kufikisha idadi jumla ya

Read more
Habari 

Watu 98 zaidi wameambukizwa Covid-19 hapa nchini

12 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Watu  98 wamepatikana kuwa na virusi vya Covid-19 nchini na kufikisha idadi jumla ya maambukizi nchini  kuwa watu 98,432 tangu

Read more
Habari 

Visa 230 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini

9 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Watu 230 zaidi hapa nchini wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya covid-19 baada ya kupimwa kwa sampuli 6,515 katika muda wa saa

Read more
Habari 

Watu 221 zaidi waambukizwa Covid-19 hapa nchini

8 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Corona, Covid-19, Mutahi Kagwe

Kiwango cha maambukizi ya COVID -19 nchini kimepungua kutoka asilimia 6.2 kilichonakiliwa siku ya Alhamisi hadi asilimia 3.2 huku watu

Read more
Habari 

Serikali yanunua dozi milioni 24 ya AstraZeneca kudhibiti Corona

7 January 20217 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments AstraZeneca, Covid-19, Mutahi Kagwe

Waziri wa afya Mutahi Kagwe sasa anasema shehena ya kwanza ya dawa za chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version