Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wauguzi watishia kuandaa maandamano ya kitaifa Jumatatu ijayo
  • Mbunge wa Tiaty William Kamket aachiliwa huru
  • Visa vipya 186 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Wahamiaji 43 wakufamaji katika bahari ya Mediterranean
  • Wafanyibiashara Ngara wakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Msizwa

Burudani 

“Serikali tafadhali mchukulie hatua!” Msizwa

13 January 202113 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platnumz, Esma Platnumz, Msizwa, Tanzania

Aliyekuwa mume wa dadake Diamond Platnumz, Esma Platnumz, Msizwa sasa anaiomba serikali ya Muungano wa Tanzania imchukulie hatua. Haya yanajiri

Read more
Burudani 

Esma Platinumz akiri kwamba ndoa yake imesambaratika

6 November 20206 November 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Esma Platinumz, Msizwa

Dadake mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platinumz ambaye hujiita Esma Platinumz alithibitishia mashabiki wake kusambaratika kwa ndoa yake na Bwana Msizwa

Read more
Burudani 

Ndoa yangu iko sawa! Dadake Diamond Esma aelezea

25 September 2020 Marion Bosire 0 Comments Diamond Platinumz, Esma Platinumz, Msizwa

Dada mkubwa wa Diamond kwa jina Esma amejitokeza na kukana tetesi kwamba ndoa yake na mume wake Msizwa imeingia doa.Kumekuwa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version