Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Mombasa

Habari 

Kifo Kitandani: Mwanamume afariki katikati ya tendo la ndoa Mombasa

17 January 2021 James Kombe 0 Comments Changamwe, Mombasa, Mtwapa

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 60 alifariki Jumamosi alipokuwa akifanya mapenzi na rafikiye wa kike katika eneo la Changamwe,

Read more
Habari 

Ajali nyingine yatokea Likoni Feri, masaa machache baada ya lori kutumbukia majini

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Feri, Likoni, Mombasa, Pollman's, SGA

Gari aina ya Pickup linalomilikiwa na Kampuni ya Huduma za Ulinzi ya SGA limeanguka lilipokuwa likijaribu kuingia ndani ya feri

Read more
Habari 

Basi la watalii latumbukia baharini katika kivuko cha Likoni

10 January 2021 James Kombe 4 Comments Likoni, Mombasa, Pollman's

Basi la Kampuni ya Kitalii ya Pollman’s limetumbukia katika Bahari Hindi katika Kivuko cha cha Likoni, Kaunti ya Mombasa. Kulingana

Read more
Habari 

Dkt Mwachonda ni miongoni mwa madaktari 86 waliofutwa kazi

7 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Chibanzi Mwachonda, Mombasa

Serikali ya kaunti ya Mombasa imewafuta kazi takriban madaktari 86 kwa madai ya mienendo duni na kupuuza majukumu yao. Kwenye

Read more
Habari 

Joho awataka viongozi wasioridhika na chama cha ODM wahame

4 January 20214 January 2021 James Kombe 0 Comments Ali Hassan Joho, Mombasa, ODM, Pwani, Ruto

Naibu wa kiongozi wa chama cha ODM Hassan Ali Joho amewadiriki viongozi wa Pwani ambao hawaridhiki na uongozi wa chama

Read more
Habari 

Vyama vya Ushirika vyahimizwa kuwezesha makundi ya vijana na akina mama

23 December 202023 December 2020 James Kombe 0 Comments Geoffrey Nja’ngombe, Mombasa, Mombasa Port SACCO, Pesa Link, SACCOs

Viongozi wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (SACCOs) wametakiwa kuwahimiza vijana na akina mama kuungana pamoja na kuanzisha

Read more
Burudani 

Mpiga rekodi wa Mombasa Nicky Phondo aaga dunia

21 December 2020 Marion Bosire 0 Comments Dj Nicky Phondo, Gates Mgenge, Lady Maureen, Madebe, Mombasa, Papa shirandula

Mcheza muziki uliorekodiwa au ukipenda DJ wa Mombasa kwa jina Nicky Phondo ameaga Dunia. Dj Nicky, anasemekana kufa kwenye ajali

Read more
Habari 

Rais Kenyatta apongeza Maendeleo ya Wanawake kwa kuwezesha akina mama nchini

15 December 202015 December 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Maendeleo ya Wanawake, Mombasa, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amelisifu Shirika la Maendeleo ya Wanawake (MYWO) kwa kuwa katika msitari wa mbele kwenye juhudi za kutetea

Read more
Habari 

Shughuli ya ukusanyaji saini za BBI yazinduliwa rasmi Mombasa

29 November 202029 November 2020 James Kombe 0 Comments Badi Twalib, BBI, John Elung'ata, Mishi Mboko, Mohammed Faki, Mombasa, Saini

Wakazi wa Kaunti ya Mombasa wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye shughuli ya ukusanyaji saini za mpango wa BBI. Kwenye

Read more
Habari 

Mwanamke tapeli akamatwa Mombasa kwa wizi wa shilingi milioni 1.7

29 November 2020 James Kombe 0 Comments Beatrice Mueni Mbiu, DCI, Mombasa, Nyali

Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Uhalifu, DCI, walioko huko Nyali, Kaunti ya Mombasa wamemtia nguvuni mwanamke mmoja anayedaiwa kumtapeli rafiki

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version