Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Mazishi

Kimataifa 

Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Ghana Jerry Rawlings kufanyika tarehe 27 Januari

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Accra, Ghana, Jerry Rawlings, Mazishi

Serikali ya Ghana imetangaza tarehe 27 Januari kuwa siku ya mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo, Jerry Rawlings. Mwili

Read more
Habari 

Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Matungu Justus Murunga yasimamishwa

19 November 202019 November 2020 James Kombe 0 Comments DNA, Justus Murunga, Mahakama, Matungu, Mazishi

Mahakama imesimamisha kwa muda mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Matungu Justus Murunga. Hayo yamejiri baada ya mwanamke mmoja kufika mahakamani

Read more
Habari 

Mwanasheria mashuhuri Nzamba Kitonga kuzikwa leo

7 November 2020 James Kombe 0 Comments Holy Family, Kitui, Mazishi, Mwanasheria, Nzamba Kitonga

Mwanasheria mashuhuri aliyeaga dunia Philip Nzamba Kitonga anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwake katika eneo la Mutitu Wa – Ndooa, Kaunti ya Kitui.

Read more
Habari 

Wizara ya Afya yabadilisha mwongozo wa shughuli za mazishi

22 September 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Mazishi, Mwangangi, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya imetoa mwongozo mpya kuhusu shughuli za mazishi ya wagonjwa wanaoaga dunia kutokana na makali ya COVID-19 humu

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version