Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Vifo 26 zaidi vyaripotiwa Kenya kutokana na maradhi ya COVID-19
  • Oooh Nyumbani ni nyumbani David Ouma ateuliwa naibu kocha wa SOFAPAKA miaka 8 baade
  • Kenya yaadhimisha siku 100 , kuanza kwa michezo Olimpiki ya Tokyo
  • Nahodha wa Uganda Dennis Onyango astaafu soka kimataifa
  • Maafisa wa KWS wanasa mashua iliyotekeleza uvuvi haramu Tana River
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Marekani

Kimataifa 

Marekani yatafuta mwafaka na China kuhusu utunzaji wa hewa

14 April 202114 April 2021 James Kombe 0 Comments China, Joe Biden, John Kerry, Marekani, Shanghai

Mjumbe maalum wa Marekani John Kerry anaelekea huko Jijini Shanghai ili kuishawishi China kabla ya mkutano wa kimataifa kuhusu hali

Read more
Kimataifa 

Maseneta wa Marekani wapitisha mswada wa dola trilioni 1.9 za kukabiliana na athari za korona

7 March 20217 March 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Joe Biden, Marekani, Seneti

Mswada wa Rais Joe Biden unaolenga kuwasaidia Wamarekani kukabiliana na athari za janga la COVID-19 umevuka kizingiti kikubwa baada ya

Read more
Kimataifa 

Jimbo la Texas nchini Marekani kuondoa agizo la uvaaji barakoa

3 March 20213 March 2021 James Kombe 0 Comments Barakoa, Covid-19, Marekani, Texas

Gavana wa jimbo la Texas nchini Marekani Greg Abbott ametangaza kuwa jimbo hilo litaondoa agizo la watu kuvaa barakoa kwenye

Read more
Kimataifa 

Trump asema hana nia ya kukihama chama cha Republican

1 March 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Marekani, Republican

Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump amesema hana mpango wa kuzindua chama kipya cha kisiasa kwa vile hatua hiyo inaweza

Read more
Kimataifa 

Afueni kwa Trump baada ya Bunge la Seneti kupungukiwa na kura za kumshitaki

14 February 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Marekani, Mitch MacConnel, Republican, Seneti

Bunge la Seneti la Marekani limekosa kufikisha thuluthi mbili ya kura ili kumshitaki aliyekuwa rais wa taifa hilo Donald Trump

Read more
Kimataifa 

Rais mpya wa Marekani Joe Biden aanza kazi rasmi kwa mageuzi ya sheria

21 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden ameanza kazi rasmi kwa kutangua baadhi ya sera za aliyekuwa rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump,

Read more
Kimataifa 

Mwanamke anayedaiwa kuiba kompyuta ya Spika Pelosi Marekani atiwa nguvuni

19 January 202119 January 2021 James Kombe 0 Comments Marekani, Nancy Pelosi, Riley June Williams

Mfuasi mmoja wa Donald Trump anayeshukiwa kuiba kipakatalishi kutoka kwa afisi ya Spika Nancy Pelosi wakati wa uvamzi wa jengo

Read more
Kimataifa 

Vitengo vya usalama nchini Marekani kukabiliana na maandamano mapya ya wafuasi wa Trump

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, FBI, Joe Biden, Marekani

Maafisa wa usalama nchini Marekani wamejiandaa kukabiliana na msururu wa maandamano ya wafuasi wa Rais Donald Trump. Inadaiwa kuwa wafuasi

Read more
Kimataifa 

Marekani yagomea uchaguzi mkuu wa Uganda

13 January 202113 January 2021 James Kombe 0 Comments Bobi Wine, Marekani, Natalie Brown, uganda, Yoweri Museveni

Marekani haitashiriki katika uangalizi wa uchaguzi mkuu wa Alhamisi nchini Uganda. Hii ni kutokana na hatua ya tume ya uchaguzi

Read more
Kimataifa 

Trump akabiliwa na tishio la kung’atuliwa mamlakani tena

11 January 202111 January 2021 James Kombe 0 Comments Democratic, Donald trump, James Cyburn, Joe Biden, Marekani

Bunge la Marekani huenda likapiga kura Jumanne kuhusu azma ya kumng’oa Rais Donald Trump mamlakani, kwa mujibu wa afisa mwandamizi

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version