Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Malaba

Habari 

Kenya yaweka tahadhari dhidi ya maambukizi ya Ebola mpakani

19 February 202119 February 2021 Tom Mathinji 0 Comments Ebola, Guinea, Malaba

Maafisa wa afya kwa umma katika eneo la mpakani la Malaba wanachukua hatua za tahadhari kufutia kuzuka kwa ugonjwa wa

Read more
Habari 

Serikali yalaumiwa kwa kusambaratisha sekta ya sukari nchini

29 December 202029 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Malaba, Stephen Ole Narupa

Chama cha Wakulima wa mashamba madogo ya miwa humu nchini kimeishutumu serikali kwa kuangamiza sekta ya sukari ya Kenya kupitia

Read more
Habari 

Afisa wa Polisi aliyemwuua mwanafunzi huko Malaba kwa kutovaa barakoa azuiliwa

3 December 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Ezekiel Odera, IPOA, Malaba, Paul Koinange

Afisa wa Polisi aliyempiga risasi kimakosa mwanafunzi wa kidato cha pili katika eneo la Malaba Ijumaa iliyopita kwa madai ya

Read more
Habari 

IPOA yatakiwa kutoa taarifa kuhusu mauaji ya kijana mmoja Malaba

2 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Malaba, Oku Kaunya, Paul Koinange

Mwenyekiti wa kamati ya bunge la kitaifa kuhusu usalama na usimamizi wa kitaifa Paul koinange,ameitisha taarifa kutoka kwa tume huru

Read more
Habari 

Polisi wampiga risasi na kumuua mtu mmoja kwa kutovalia barakoa Malaba

28 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Busia, Edward Oku Kaunya, Malaba

Wakazi wa mji wa Malaba waliandamana barabarani kwa siku ya pili baada ya mwanamme mmoja wa umri wa miaka 27

Read more
Habari 

Serikali yatakiwa kuimarisha juhudi za kukabiliana na bidhaa za magendo

4 November 20204 November 2020 James Kombe 0 Comments KRA, Magendo, Malaba, Oku Kaunya, Teso Kaskazini

Mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya ameitaka serikali kuu kuimarisha usalama mipakani ili kuzuia kuingizwa humu nchini kwa bidhaa za

Read more
Habari 

Madereva wa malori wataka muda wa matumizi ya vyeti vya Corona uongezwe

28 October 2020 James Kombe 0 Comments Afrika Mashariki, Busia, Covid-19, Malaba, Malori, Vyeti

Madereva wa malori ya safari ndefu wanaomba Wizara ya Afya kufanyia marekebisho masharti ya kupimwa virusi vya Corona kila baada

Read more
Habari 

Walimu waanza kurejea katika taasisi za Elimu

28 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Malaba, Nancy Macharia, TSC

Walimu wa shule za msingi na sekondari walirejea Jumatatu kwenye taasisi za elimu kabla ya kufunguliwa tena kwa shule. Hii

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version