Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wauguzi watishia kuandaa maandamano ya kitaifa Jumatatu ijayo
  • Mbunge wa Tiaty William Kamket aachiliwa huru
  • Visa vipya 186 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
  • Wahamiaji 43 wakufamaji katika bahari ya Mediterranean
  • Wafanyibiashara Ngara wakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Machakos

Habari 

Chama cha Wiper chamteua Agnes Kavindu kuwania Useneta Machakos

13 January 202113 January 2021 James Kombe 0 Comments Agnes Kavindu Muthama, Kalonzo Musyoka, Machakos, Wiper

Chama cha Wiper Democratic Movement kimemteua Agnes Kavindu Muthama kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa kiti cha Useneta wa

Read more
Habari 

Tarehe ya uchaguzi mdogo wa Useneta kaunti ya Machakos yabadilishwa

5 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Iebc, Machakos, Wafula Chebukati

Tume ya uchaguzi humu nchini imesema uchaguzi mdogo wa Useneta katika kaunti ya Machakos utaandaliwa tarehe 18 mwezi Machi mwaka

Read more
Habari 

Seneta wa Machakos Boniface Kabaka amefariki

11 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Alfred Mutua, Boniface Kabaka, Machakos

Seneta wa Machakos Boniface Kabaka amefariki. Seneta huyo anasemekana kufariki alipokuwa akipata matibabu katika hospitali moja hapa Nairobi wiki moja

Read more
Habari 

Polisi wa trafiki wanasa magari mabovu ya uchukuzi wa umma kaunti ya Machakos

5 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Athi River, Issa Muhamud, Machakos

Magari 50 ya uchukuzi wa umma yalikamatwa na polisi wa trafiki Jumamosi kwenye operesheni iliofanywa kunasa magari mabovu tunapokaribia msimu

Read more
Habari 

Wakazi wa Machakos wahimizwa kuzingatia masharti ya kudhibiti Covid-19

1 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Issa Mohamud, Machakos, Mwala

Kamanda wa polisi katika kaunti ya Machakos  Issa Mohamud amewatahadharisha wakazi wa kaunti hiyo dhidi ya kukiuka masharti yaliyowekwa kukabiliana

Read more
Habari 

Wahudumu wa Bodaboda waonywa dhidi ya kujihusisha na uhalifu

29 November 202029 November 2020 James Kombe 0 Comments Allan Musembi, Bodaboda, Machakos, Uhalifu

Mwenyekiti wa chama cha wahudumu wa bodaboda mjini Machakos, Allan Musembi ametoa onyo kali kwa wahudumu wanaodaiwa kujihusisha na vitendo

Read more
Habari 

Wakazi wa Mavoko, Kaunti ya Machakos, walalamikia uharibifu wa mazingira

23 November 2020 James Kombe 0 Comments Machakos, Mavoko, Mazingira, NEMA

Wakazi wa Eneo Bunge la Mavoko, Kaunti ya Machakos, wamelalamikia uvundo wa maji machafu yanayopitia katika vijiji vyao. Wakazi hao

Read more
Habari 

Wakenya kuanza kupokea Huduma Namba Desemba

18 November 2020 James Kombe 0 Comments Fred Matiang'i, Huduma namba, Joe Mucheru, Kiambu, Machakos

Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i amesema zoezi la kutoa kadi za Huduma Namba kwa Wakenya wote litaanza rasmi

Read more
Habari 

Walioambukizwa Covid-19 wahimizwa kutangaza hali yao hadharani

3 November 20203 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Florence Mwangangi, Machakos, Mercy Mwangangi

Spika wa bunge la kaunti ya Machakos Florence Mwangangi ametoa wito kwa wakenya wanaoambukizwa virusi vya Covid-19 kutangaza hali zao hadharani

Read more
Habari 

Mrundiko wa taka Mlolongo wahatarisha maisha ya wakazi

27 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Alfred Mutua, Machakos, Mlolongo

Serikali ya kaunti ya Machakos imeshtumiwa vikali kwa kukosa kuzoa mrundiko wa taka katika eneo la Mlolongo. Wakazi wa mlolongo

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version