Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

KWS

Habari 

Watoto wawili wauawa na Kiboko ufuoni Ziwa Victoria

31 December 202031 December 2020 James Kombe 0 Comments Bondo, Erick Ochieng, Kiboko, KWS, Siungu, Uhwaya, Ziwa Victoria

Watoto wawili wamefariki baada ya kushambuliwa na Kiboko katika maeneo ya Siungu na Uhwaya kwenye fuo za Ziwa Victoria, Kaunti

Read more
Habari 

Mwanamume auawa na ndovu Mtito Andei

31 December 202031 December 2020 James Kombe 0 Comments Charles Mutinda Mutisya, Joseph Ole Naipeyan, Kibwezi Mashariki, KWS, Mtito Andei, Ndovu

Mwanamume mwenye umri wa miaka 73 amefariki papo hapo baada ya kukanyagwa na ndovu katika eneo la Nthunguni katika Kata

Read more
Habari 

KWS yatenga shilingi milioni 17 kuwafidia waliojeruhiwa na wanyama pori Kajiado

21 December 2020 James Kombe 0 Comments Joseph Lenku, Kajiado, KWS, Najib Balala

Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori Nchini (KWS) limetoa shilingi milioni 17 kama fidia kwa wahasiriwa waliovamiwa na wanyama wa

Read more
Habari 

Serikali yatakiwa kuwapa makazi waathiriwa wa mafuriko ya Ziwa Nakuru

3 December 2020 James Kombe 0 Comments Joseph Boinnet, KWS, Lee Kinyanjui, Ziwa Nakuru

Serikali imetakiwa kuwapa makazi watu alfu mbili waliopoteza makao yao baada ya Ziwa Nakuru kuvunja kingo zake na kuharibu nyumba

Read more
Habari 

Watalii kuingia Mbuga ya Kitaifa ya Ziwa Nakuru kupitia viingilio vya Lanet na Nderit

9 November 20209 November 2020 James Kombe 0 Comments KWS, Lanet, Mbuga, Nderit, Oguna, Ziwa Nakuru

Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori nchini, KWS, limesema kuwa wageni wanaweza kuingia kwenye Mbuga ya Kitaifa ya Ziwa Nakuru

Read more
Habari 

Idadi ya watalii wanaozuru mbuga ya Hells gate yaongezeka

1 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Hells Gate, KWS, Naivasha

Idadi ya wageni wanaozuru mbuga mashuhuri ya  wanyama pori ya Hells-gate huko Naivasha imeongezeka kwa kiwango cha asili mia 30

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version