Skip to content
Thursday, April 15, 2021
Latest:
  • Anne Kansiime atangaza kwamba anatarajia mtoto
  • Wanawake wawili wakamatwa wakiwa na silaha hatari Jijini Nairobi
  • Mancity yavunja nuksi na kufuzu nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya tangu mwaka 2016
  • Maambukizi ya Covid-19 yanapenyenza katika kaunti zilizo nje ya zile zilizofungwa
  • Maafisa 11 wa usimamizi mtihani wakamatwa kwa udanganyifu
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Korona

Habari 

Chanjo ya Sputnik V imeidhinishwa kwa matumizi ya dharura tu, humu nchini

31 March 202131 March 2021 James Kombe 0 Comments Chanjo, Korona, Sputnik V

Bodi ya Dawa na Sumu nchini imesema Chanjo ya Sputnik V imepata tu Idhini ya matumizi ya dharura kutoka kwa bodi hiyo, lakini sio miongoni

Read more
Habari 

Korona: Kenya yaripoti vifo 25 huku kiwango cha maambukizi kikifikia asilimia 22.1

23 March 202123 March 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Dkt Rashid Aman, Korona, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya imethibitisha kufariki kwa wagonjwa 25 waliokuwa wakiugua ugonjwa wa COVID-19 na kuongeza idadi ya vifo vilivyotokana na

Read more
Habari 

Gavana wa Meru Kiraitu Murungi aambukizwa korona

19 March 2021 James Kombe 0 Comments Kiraitu Murungi, Korona, Meru

Gavana wa Kaunti ya Meru Kiraitu Murungi amethibitishwa kuambukizwa virusi vya korona. Haya ni kuulingana na Waziri wa Afya wa

Read more
Habari 

Wagonjwa 17 wafariki kutokana na COVID-19 huku visa vipya 1,225 vikiripotiwa

18 March 202118 March 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Korona, Wizara ya Afya

Kenya imenakili visa vipya 1,225 vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 baada ya sampuli 7,308 kupimwa katika muda was aa 24 zilizopita.

Read more
Kimataifa 

WHO yahimiza Afrika kuendelea kutumia chanjo ya Oxford-AstraZeneca

17 March 202117 March 2021 James Kombe 0 Comments Afrika, Korona, Oxford-AstraZeneca., WHO

Afisa mmoja mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameyahimiza mataifa ya Afrika kutopoteza imani na chanjo ya Oxford-AstraZeneca, dhidi

Read more
Habari 

COVID-19: Kenya yanakili visa vipya zaidi ya elfu

16 March 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Korona, Wizara ya Afya

Kiwango cha maambukizi ya virusi vya korona humu nchini kimezidi kuongezeka baada ya Wizara ya Afya kuripoti visa vipya 1,064

Read more
Kimataifa 

Waliochapisha taarifa za kuugua kwa Magufuli wakamatwa Tanzania

15 March 202115 March 2021 James Kombe 0 Comments John Pombe Magufuli, Korona, Tanzania

Maafisa wa Usalama nchini Tanzania wamewakamata watu wanne kwa madai ya kuchapisha taarifa potofu kwamba Rais John Pombe Magufuli ni

Read more
Kimataifa 

Uholanzi nayo yasitisha matumizi ya chanjo ya Oxford-AstraZeneca

15 March 2021 James Kombe 0 Comments Chanjo, Korona, Oxford-AstraZeneca., Uholanzi

Uholanzi imekuwa nchi ya hivi punde kabisa kusitisha matumizi ya chanjo ya Oxford-AstraZeneca dhidi ya ugonjwa wa Korona kutokana na hisia

Read more
Habari 

Walimu kuanza kupokea chanjo dhidi ya korona leo

15 March 2021 James Kombe 0 Comments Chanjo, Korona, Nancy Macharia, TSC, Walimu

Utoaji wa chanjo dhidi ya maradhi ya COVID-19 kwa walimu unatarajiwa kuanza leo kote nchini. Yamkini walimu elfu 15 ambao

Read more
Habari 

Kenya yaripoti visa 431 vipya vya maambukizi ya COVID-19

14 March 202114 March 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Korona, Wizara ya Afya

Wizara ya Afya humu nchini imetangaza visa vipya 431 vya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19, kutokana na sampuli 4,627 zilizopimwa

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version