Skip to content
Thursday, March 4, 2021
Latest:
  • Machifu wa Kilifi waagizwa kuwalinda wazee wanaowindwa kwa tuhuma za uchawi
  • Stars yaendeleza mazoezi kujiandaa kukabiliana na Misri na Togo
  • Lupita Nyong’o aanzisha kipindi cha watoto
  • Upigaji kura wang’oa nanga kwenye chaguzi ndogo za Matungu, Kabuchai na wadi kadhaa
  • Mahakama yaongeza muda wa kuzuia kuongezwa kwa ada ya kuegesha magari Nairobi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Kilifi

Habari 

Machifu wa Kilifi waagizwa kuwalinda wazee wanaowindwa kwa tuhuma za uchawi

4 March 20214 March 2021 James Kombe 0 Comments Chifu, John Elung'ata, Kilifi, Kutswa Olaka, Magarini, Uchawi

Mshirikishi wa Utawala katika ukanda wa Pwani John Elungata amewaagiza machifu wote katika Kaunti ya Kilifi kutayarisha orodha ya wazee

Read more
Habari 

Raila, Gavana Kingi wafokeana hadharani kuhusu chama cha Pwani

3 March 2021 James Kombe 0 Comments Amason Kingi, BBI, Ganze, Kilifi, Raila Odinga

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amehitilafiana vikali na Gavana wa Kaunti ya Kilifi Amason Kingi kuhusu swala la

Read more
Habari 

Afueni kwa wakazi wa Bamba, Kaunti ya Kilifi baada ya mradi wa maji wa shilingi milioni 100 kuzinduliwa

23 February 2021 James Kombe 0 Comments Amason Kingi, Bamba, EU, Fahmy Shaiye, Ganze, Kilifi, KIMAWASCO

Muungano wa Ulaya (EU) umetoa ruzuku ya shilingi bilioni 6.5 kwa hazina ya sekta ya maji kufadhili miradi ya maji

Read more
Habari 

Bunge la Kaunti ya Kisii nalo lasema ‘Ndiyo’ kwa mswada wa BBI

18 February 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Jimmy Kahindi, Kilifi, Kisii

Bunge la Kaunti ya Kisii ni la hivi punde zaidi kuupitisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka wa 2020. Kaunti ya Kisii inakuwa kaunti nambari nane

Read more
Habari 

Naibu Gavana wa Kilifi Gideon Saburi atangaza kuwania ugavana 2022

16 February 2021 James Kombe 0 Comments Amason Kingi, Gideon Saburi, Kilifi, Rabai

Naibu Gavana wa Kaunti ya Kilifi Gideo Saburi ametangaza azma ya kutaka kumrithi mkuu wake Amason Kingi kwenye uchaguzi mkuu

Read more
Habari 

Ruto atoa wito wa umoja wa kitaifa huku uchaguzi mkuu ukikaribia

7 February 20217 February 2021 James Kombe 0 Comments A.C.K All Saints, Kilifi, Mtwapa, William Ruto

Naibu Rais William Ruto ametoa wito wa kuwepo kwa umoja miongoni mwa Wakenya huku nchi hii ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu

Read more
Habari 

Hospitali ya Kilifi yafichua takwimu za kusikitisha kuhusu mimba za mapema na uavyaji mimba

2 February 20212 February 2021 James Kombe 0 Comments Kilifi, Linda Safari, Mimba za mapema

Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kilifi imenakili visa 21 vya mimba za mapema na vyengine 20 vya uavyaji mimba

Read more
Habari 

NEMA yaishtumu serikali ya Kaunti ya Kilifi kwa utupaji taka kiholela

1 February 2021 James Kombe 0 Comments John Konchella, Kasorina, Kilifi, Malindi, NEMA

Mamlaka ya Kitaifa ya kusimamia Mazingira (NEMA) imeiagiza serikali ya Kaunti ya Kilifi kudhibiti mara moja, shughuli za utupaji taka

Read more
Habari 

Mwanamke ashtakiwa Kilifi kwa madai ya wizi wa mtungi wa gesi

27 January 202127 January 2021 James Kombe 0 Comments Calvin Omondi, Gesi, Kilifi, Sifuna Daniel Sitati, Stella Mosy

Mwanamke mmoja amefikishwa mahakamani baada ya kudaiwa kuiba mtungi wa gesi kutoka kwa nyumba ya jirani yake katika eneo la

Read more
Habari 

Kaunti ya Kilifi yanunua vifaa vya kisasa vya kukabiliana na nzige

23 January 202123 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments FAO, Kilifi, Nzige

Wakazi wa kaunti ya Kilifi wamepata nafuu baada ya serikali ya kaunti hiyo kununua vifaa vya kisasa vya kukabiliana na

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version