Skip to content
Wednesday, March 3, 2021
Latest:
  • Mudavadi aibua wasiwasi kuhusu njama ya wizi wa kura Matungu
  • NOC-K na Kaunti ya Nairobi zasaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha kukuza talanta cha OlympAfrica
  • Mashindano ya msururu wa dunia katika raga ya wachezaji 7 upande HSBC kuanza Mei
  • Ajuma Nasenyana asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
  • Mswada wa BBI kuwasilishwa katika Bunge la Kitaifa Alhamisi
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Kiambu

Habari 

Rais Kenyatta ahudhuria mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Juja Francis Waititu

2 March 20212 March 2021 James Kombe 0 Comments Francis Waititu, Juja, Kiambu, Saratani

Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa wageni mashuhuri ambao wanahudhuria ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Juja Francis Munyua

Read more
Habari 

Wakazi wa Kiambu wakadiria hasara kutokana na hitilafu za umeme zinazoteketeza nyumba zao

16 February 2021 James Kombe 0 Comments Kenya Power, Kiambu, Umeme

Wakazi wa mtaa wa Kiamumbi katika mji wa Kiambu wameelezea wasi wasi wao kutokana na visa vingi vya kuteketea kwa

Read more
Habari 

Ruto akemea baadhi ya viongozi kwa kuendeleza siasa za kikabila

9 February 2021 James Kombe 0 Comments Kiambu, Patrick Wainaina, Thika, William Ruto

Naibu Rais William Ruto amewakosoa baadhi ya wanasiasa dhidi ya kumdunisha Rais Uhuru Kenyatta hadi kiwango cha kiongozi wa eneo

Read more
Habari 

Mike Sonko alazwa hospitalini

9 February 2021 Tom Mathinji 0 Comments Kiambu, Mike Sonko, Shinikizo la damu

Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko Jumanne asubuhi alipelekwa hospitalini baada ya kukumbwa na matatizo ya tumbo. Kulingana na mmoja

Read more
Habari 

Sonko afikishwa mahakamani Kiambu na kukanusha mashtaka ya kuzua vurugu

2 February 20212 February 2021 James Kombe 0 Comments Kiambu, Mahakamani, Mike Sonko

Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Nairobi Mike Sonko amefikishwa katika Mahakama ya Kiambu ambapo amekanusha mashtaka kadhaa dhidi yake yanayohusiana

Read more
Habari 

Amuua babake kufuatia mzozo wa ardhi Ruiru na kutupa mwili wake chooni

1 February 20211 February 2021 James Kombe 1 Comment John Gichia Gitau, Kiambu, Kwihota, Phineas Lingera, Ruiru

Hali ya huzuni imeghubika Kijiji cha Kwihota katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu baada ya mwili wa mwanamume mmoja

Read more
Habari 

Simon Warunge hana akili timamu kujibu mashtaka ya mauaji ya familia yake

26 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Kiambu, Sarah Muthoni, Simon Warunge

Mahakama ya Kiambu imesema mshukiwa wa mauaji ya jamaa wa familia yake kaunti ya Kiambu Simon Warunge hana akili timamu na

Read more
Habari 

Sossion ailaumu TSC kwa kukipiga vita chama cha KNUT

24 January 2021 James Kombe 0 Comments Kiambu, KNUT, Lilian Nzomo, Nancy Macharia, Samuel Muiruri, TSC, Wilson Sossion

Katibu Mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu (KNUT) Wilson Sossion ameikashifu vikali Tume ya Kuwaajiri Walimu nchini (TSC) kwa

Read more
Habari 

Hakimu mkuu mwandamizi wa Kiambu asimamishwa kazi

15 January 202114 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Kiambu, Philomena Mwilu, Theresa Nyangena

Hakimu mkuu mwandamizi wa Kiambu Theresa Nyangena amesimamishwa kazi kutokana na madai ya kudhihirisha mienendo isiyofaa na kukosa kutekeleza ipasavyo

Read more
Habari 

Mshukiwa wa mauaji ya Kiambu kusalia korokoroni kwa siku 14 zaidi

11 January 202111 January 2021 James Kombe 0 Comments Kiambaa, Kiambu, Muthoni, Warunge

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu watano wa familia moja katika Kaunti ya Kiambu atasalia korokoroni kwa siku 14, akisubiri

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version