Skip to content
Thursday, March 4, 2021
Latest:
  • Rais Kenyatta azuru hifadhi ya chanjo za korona Kitengela
  • Sadiq Daba ameaga dunia
  • Machifu wa Kilifi waagizwa kuwalinda wazee wanaowindwa kwa tuhuma za uchawi
  • Stars yaendeleza mazoezi kujiandaa kukabiliana na Misri na Togo
  • Lupita Nyong’o aanzisha kipindi cha watoto
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Katiba

Habari 

Wakili Kanjama aitaka mahakama itupilie mbali mchakato wa BBI

24 February 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Charles Kanjama, Iebc, Katiba

Wakili Charles Kanjama amewasilisha kesi mahakamani ya kupinga mchakato wa kuidhinisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka wa 2020.

Read more
Habari 

Kura ya maamuzi yanukia huku kaunti zikiendelea kupitisha BBI

22 February 202122 February 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Katiba, Kura ya maamuzi, Raila Odinga

Siku ya Jumanne huenda ikaamua mwelekeo wa mchakato wa marekebisho ya katiba humu nchini, huku mabunge kumi ya kaunti yakitarajiwa

Read more
Habari 

BBI: Mabunge saba yapitisha mswada wa marekebisho ya katiba

17 February 202117 February 2021 James Kombe 0 Comments BBI, Kajiado, Katiba

Mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano ya kitaifa (BBI) unazidi kupamba moto huku jumla ya mabunge saba

Read more
Habari 

Bunge la Kaunti ya Homabay laidhinisha mswada wa BBI

11 February 202111 February 2021 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Homabay, Katiba, Raila Odinga

Bunge la Kaunti ya Homabay limekuwa la tatu kati ya yote 47 kupitisha kwa kauli moja, mswada wa marekebisho ya

Read more
Habari 

IEBC yaidhinisha mswada wa BBI

26 January 2021 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Iebc, Katiba

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) imeidhinisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020, kupitia mpango wa

Read more
Habari 

Zoezi la ukusanyaji saini lang’oa nanga huku Rais Kenyatta akihimiza Wakenya kuunga mkono BBI

25 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Katiba, KICC, Raila Odinga, Rais Kenyatta

Safari ya marekebisho ya katiba imeanza rasmi Jumatano kufuatia uzinduzi wa shughuli ya ukusanyaji saini kwenye hafla iliyoongozwa na Rais

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version