Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Kakamega

Habari 

Magavana waapa kuwapiga kalamu wahudumu wa afya wanaogoma

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Covid-19, Kakamega, Mgomo, Wycliffe Oparanya

Magavana wametishia kuwaachisha kazi wahudumu wote wa afya wanaogoma iwapo hawatarejea kazini mara moja. Magavana hao pia wamefichua kwamba watasambaza

Read more
Habari 

Seneta Malala amtaka Ruto ajitoe kwenye kinyang’anyiro cha Urais

29 November 202029 November 2020 James Kombe 0 Comments Cleophas Malala, Kakamega, Musalia MUdavadi, Uasin Gishu, William Ruto

Seneta wa Kakamega Cleophas Malala ametoa wito kwa Naibu Rais William Ruto kutupilia mbali azma yake ya kuwania wadhifa wa

Read more
Habari 

Serikali ya Kakamega yatakiwa kuwafidia wahudumu wa afya waliofariki kutokana na Covid-19

21 November 202020 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Kakamega, Matungu

Wahudumu wa afya kaunti ya Kakamega wametoa ilani ya mgomo ya siku 21,ikiwa serikali ya kaunti hiyo haitawafidia maafisa wa

Read more
Habari 

Vijana wahimizwa kuunga mkono BBI kwa manufaa yao ya kiuchumi

7 November 20207 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, Kakamega, Mwingi, Tindi Mwale, Vijana

Vijana kote nchini wamehimizwa kusoma na kuelewa ripoti ya Mpango wa Maridhiano, BBI, kabla ya kufanya maamuzi yoyote kuhusu. Chama cha

Read more
Habari 

Afisa mkuu wa wafanyikazi kaunti ya Kakamega afariki kutokana na Covid-19

29 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Kakamega, Robert Sumbi

Afisa mkuu wa wafanyikazi katika kaunti ya Kakamega Robert Sumbi amefariki. Sumbi aliaga kutokana na matatizo yanayohusiana na ugonjwa wa

Read more
Habari 

Oparanya aibuka Gavana mchapa kazi bora zaidi

28 October 2020 James Kombe 0 Comments Gavana, infotrak., Kakamega, Wycliffe Oparanya

Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ametajwa kuwa gavana anayetenda kazi kwa ubora zaidi kwenye orodha ya hivi punde

Read more
Habari 

Mwanamume ajitia kitanzi kwa kushindwa kulipa deni Kakamega

18 October 202018 October 2020 James Kombe 0 Comments Deni, Eshiambitsi, Kakamega, Kitanzi, Navakholo

Hali ya simanzi imeghubika Wadi ya Eshiambitsi huko Navakholo, Kaunti ya Kakamega baada ya mwanamme wa umri wa makamo kujiua

Read more
Habari 

Wakazi waliokuwa na ghadhabu wateketeza kituo cha polisi Kakamega

9 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Kakamega, Mbururu, Peris Kimani

Wakazi wa kaunti ya   Kakamega  waliokuwa na ghadhabu, waliteketeza  kituo kimoja  cha polisi baada  ya kukabiliana na maafisa wa polisi. 

Read more
Habari 

Maraga: Tunaazimia kuwa na mahakama kuu katika kila kaunti

27 September 202026 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments David Maraga, Elgeyo Marakwet, Kakamega

Jaji mkuu David Maraga amesema kuwa idara ya mahakama imejitolea kuimarisha miundo misingi ya mahakama nchini katika juhudi za kuboresha

Read more
Habari 

Shule za Msingi na Upili za umma kupokea madawati zaidi

20 September 202019 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments Jua kali, Kakamega, Prof.George Magoha

Shule za msingi zitapata madawati elfu-360 yatakayotengenezwa kwa gharama ya shilingi milioni- 900 huku zile za sekondari zikipokea meza na

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version