Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Mzozo kati ya wapenzi wachanga wasababisha mauti Kirinyaga
  • Chadwick Boseman ashinda tuzo la Golden Globe
  • Wasafi Tv yarejea hewani
  • Sihitaji kuidhinishwa na Raila kushinda urais – Mudavadi
  • Trump asema hana nia ya kukihama chama cha Republican
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Kakamega Homeboyz

Michezo 

Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF

28 February 202128 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, Bandari Fc, FKFPL, Kakamega Homeboyz, Kariobangi Sharks, Kcb, Sofapaka Fc, Ulinzi Stars

Miamba wa soka Kenya Afc Leopards walisajili ushindi wa pili mtawalia kwenye ligi kuu FKF chini ya kocha mpya Patrick

Read more
Michezo 

Homeboyz wazidiwa Uzito ligi kuu FKF

29 January 202130 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments FKFPL, Kakamega Homeboyz, Wazito Fc

Klabu ya Wazito Fc imeendeleza msuru wa matokaeo mazuri  kwa kushinda mechi tano mtawalia,ilipowaangusha Kakamega Homeboyz goli 1 bila jibu

Read more
Michezo 

Ingwe yaichuna Sharks huku KCB wakiwazima Western Stima

25 January 202124 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, Bidco United Fc, FKFPL, Kakamega Homeboyz, Kariobangi Sharks, Kcb, Western Stima

AFC Leopards waliwakwaruza Kariobangi Sharks mabao 2-0 katika mchuano wa ligi kuu uliopigwa Jumapili alasiri  katika uwanja wa Kasarani. Elvis

Read more
Michezo 

Homeboyz yaadhimisha miaka 10 kwa ufadhili wa milioni 20 kutoka Mozart Bet

29 December 202029 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments fkf, Kakamega Homeboyz, Mozart Bet

Klabu ya Kakamega Homeboyz inayoshiriki ligi kuu ya Kenya imesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa kima cha shilingi milioni 20 

Read more
Michezo 

Muyoti atwaa mikoba ya kuinoa Wazito FC

10 November 20209 November 2020 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, Fkf Premier league, Kakamega Homeboyz, Wazito Fc

Nicholas Muyoti ameteuliwa kuwa kocha mpya wa kilabu cha  Wazito Fc kinachoshiriki ligi kuu ya soka humu nchini. Hadi uteuzi

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version