Skip to content
Friday, February 26, 2021
Latest:
  • Mwakilishi wodi ya Karen ahukumiwa miaka mitatu gerezani kutokana na ufisadi
  • KRA yaboresha mfumo wake wa ukusanyaji ushuru
  • Stars kucheza mechi tatu za kujipiga msasa kabla ya kuikabili Misri
  • Watu 277 zaidi waambukizwa Covid-19 hapa nchini
  • Vipusa wa KCB walenga matokeo bora ligi kuu KVF Wikendi hii
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Joe Biden

Kimataifa 

Marekani yarejea katika mkataba wa Paris kuhusu hali ya hewa

20 February 2021 Tom Mathinji 0 Comments Joe Biden, John Kerry, Paris

Marekani imerejea rasmi katika mkataba wa Paris, kuhusu hali ya hewa,na hivyo kupiga juhudi za kimataifa katika kupambana na athari za mabadiliko

Read more
Kimataifa 

Nchi za ulaya zatakiwa kutoa asilimia tano ya chanjo ya Covid-19 kwa nchi zinazostawi

19 February 202119 February 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Emmanuel Macron., G7, Joe Biden

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametoa wito kwa bara ulaya na Marekani kutuma kwa haraka angalau asilimia tano ya chanjo

Read more
Burudani 

Mshairi wa umri mdogo zaidi wa uapisho wa Rais Marekani

21 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Amanda Gorman, America, Havard University, Joe Biden, Kamala Harris, One Pen One Page, Oprah Winfrey

Mwanadada Amanda Gorman wa miaka 22 tu amezungumziwa sana na kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii ulimwenguni kote kutokana na

Read more
Burudani 

Lady Gaga asisimua kwenye uapisho wa Rais Marekani

21 January 202121 January 2021 Marion Bosire 0 Comments America, Jennifer Lopez, Joe Biden, Lady Gaga

Sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa 46 Joe Biden nchini Marekani jana Jumatano ilikuwa tofauti kidogo ikifananishwa na sherehe sawia

Read more
Kimataifa 

Rais mpya wa Marekani Joe Biden aanza kazi rasmi kwa mageuzi ya sheria

21 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden ameanza kazi rasmi kwa kutangua baadhi ya sera za aliyekuwa rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump,

Read more
Kimataifa 

Joe Biden aapishwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani

20 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Joe Biden, Kamala Harris

Joe Biden ameapishwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani katika sherehe iliyoongozwa na jaji wa Mahakama Kuu John Roberts. Hata

Read more
Kimataifa 

Trump aondoka katika Ikulu ya Marekani

20 January 202120 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Joe Biden, Kamala Harris

Rais wa Marekani Donald Trump ameondoka katika Ikulu ya Marekani akiwa ameandamana na mkewe Melania Trump saa chache kabla ya

Read more
Burudani 

Tiffany Trump atangaza uchumba

20 January 202120 January 2021 Marion Bosire 0 Comments Democratic Party, Joe Biden, President Donald Trump, Republican Party, Tiffany Trump, White House

Siku za mwisho za Rais Donald Trump mamlakani ndio wakati kitinda mimba wake kwa jina Tiffany alichagua kutangaza kwamba amechumbiwa.

Read more
Kimataifa 

Vitengo vya usalama nchini Marekani kukabiliana na maandamano mapya ya wafuasi wa Trump

17 January 202117 January 2021 James Kombe 0 Comments Donald trump, FBI, Joe Biden, Marekani

Maafisa wa usalama nchini Marekani wamejiandaa kukabiliana na msururu wa maandamano ya wafuasi wa Rais Donald Trump. Inadaiwa kuwa wafuasi

Read more
Kimataifa 

Biden atenga dola trilioni 1.9 kukabiliana na Covid-19

15 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Joe Biden

Rais mteule wa Marekani Joe Biden  ametenga dola trilioni 1.9 kupambana na janga la Covid 19 na kugharamia kupatikana   kwa chanjo

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version