Skip to content
Monday, January 18, 2021
Latest:
  • Mtandao warejeshwa Uganda baada ya kufungwa wakati wa uchaguzi mkuu
  • Mahakama yazuia kuapishwa kwa Anne Kananu kuwa Kaimu Gavana wa Nairobi
  • Gor Mahia wazima Stima Kisumu
  • Taharuki yatanda Kapedo baada ya afisa wa GSU kuuawa na majambazi
  • Maambukizi ya COVID-19 yazidi kushuka huku watu 65 wakipatikana na ugonjwa huo
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Jerry Rawlings

Kimataifa 

Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Ghana Jerry Rawlings kufanyika tarehe 27 Januari

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Accra, Ghana, Jerry Rawlings, Mazishi

Serikali ya Ghana imetangaza tarehe 27 Januari kuwa siku ya mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo, Jerry Rawlings. Mwili

Read more
Habari 

Rais Kenyatta amwomboleza aliyekuwa rais wa Ghana Jerry Rawlings

12 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Jerry Rawlings, Nana Akufo-Addo, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amemwomboleza aliyekuwa rais wa Ghana Jerry Rawlings, ambapo alimtaja kuwa kiongozi aliyejali umoja wa Afrika ambaye aliamini

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version