Skip to content
Wednesday, January 20, 2021
Latest:
  • Mwanamke anayedaiwa kuiba kompyuta ya Spika Pelosi Marekani atiwa nguvuni
  • Zaidi ya waendeshaji boda boda 4,000 kupewa leseni za kidijitali
  • Watu 81 waambukizwa virusi vya Corona
  • Ngilu amkemea Ruto kwa kudai kwamba Kalonzo alinyakua ardhi ya Yatta
  • Wanariadha 6 wanufaika na msaada wa masomo kutoka kwa ANOCA
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Japan

Habari 

Rais Kenyatta akutana na Waziri kutoka Japan katika Ikulu ya Nairobi

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Ikulu, Japan, Rais Uhuru Kenyatta, Toshimitsu Motegi

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Japan anayezuru humu nchini, Toshimitsu Motegi, katika Ikulu ya

Read more
Kimataifa 

Muungano wa Ulaya wasambaza chajo za Corona kwa mataifa wanachama

27 December 202027 December 2020 James Kombe 0 Comments Canada, Chanjo, Corona, EU, Japan, Ursula von der Leyen

Muungano wa Mataifa ya Bara Ulaya, EU, umezindua kampeni ya pamoja ya kuchanga raia dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Rais

Read more
Kimataifa 

Serikali ya Japan yabuni mbinu ya kuhimiza raia wafanye mapenzi zaidi

9 December 20209 December 2020 James Kombe 0 Comments Japan, Mapenzi, Michezo, Watoto

Japan inapanga kufadhili michezo ya mitandaoni itakayokutanisha watu ili kuchochea raia wake kufanya mapenzi. Hatua hiyo inatokana na lengo la

Read more
Habari 

Rais Kenyatta ampongeza Waziri Mkuu mpya wa Japan Yoshihide Suga

17 September 2020 James Kombe 0 Comments Japan, RaisKenyatta, Shinzo Abe, Yoshihide Suga

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza Yoshihide Suga kufwatia kuchaguliwa kwake kuwa Waziri Mkuu mpya wa Japan. Suga anachukua nafasi ya Shinzo

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version