Skip to content
Sunday, April 11, 2021
Latest:
  • Wanaharakati watabiri ongezeko la mimba za mapema kote nchini
  • Watetezi wa haki watakiwa kumuokoa msichana anayeteswa na babake wa kambo Bunyala
  • Waziri Mkuu wa Uingereza kutohudhuria ibada ya wafu ya Mwanamfalme Philip
  • Ismail Omar Guelleh achaguliwa bila kupingwa kuiongoza Djibouti
  • Visa vipya 1,030 vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Israel

Kimataifa 

Meli ya mizigo ya Iran yalipuliwa katika pwani ya Yemen

7 April 2021 Tom Mathinji 0 Comments Israel, Revolutionary Guards, Savis

Mlipuko umeharibu meli ya kusafirisha shehena iliyotia nanga kwenye pwani ya Yemen katika bahari ya shamu ambayo inadaiwa kutumiwa na

Read more
Kimataifa 

Kesi ya ufisadi dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelewa

5 April 2021 James Kombe 0 Comments Benjamin Netanyahu, Israel, Jerusalem, Ufisadi

Kesi ya ufisadi dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imepangiwa kurejelewa, huku mahakama moja ya Jerusalem ikitarajiwa kupokea ushahidi kwa mara ya kwanza. Netanyahu, mwenye

Read more
Kimataifa 

Watu milioni moja wamechanjwa dhidi ya Covid-19 nchini Israel

2 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Covid-19, Israel

Serikali ya Israel imetoa chanjo dhidi ya virusi vya Korona kwa zaidi ya watu milioni-1, hiyo ikiwa ndiyo idadi kubwa

Read more
Kimataifa 

Iran yataka Umoja wa Mataifa kulaani mauaji ya Mohsen Fakhri-Zadeh

2 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Iran, Israel, Mohsen Fakhri-Zadeh

Iran imelitaka baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kukashifu mauaji ya mtafiti mkuu wa Kinuklia nchini humo Mohsen Fakhri-Zadeh

Read more
Kimataifa 

Trump atoa masharti ya kuiondoa Sudan katika orodha ya wanaofadhili ugaidi

20 October 202020 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Donald trump, Israel, Omar al- Bashir, Sudan

Rais wa Marekani Donald Trump amesema ataoindoa Sudan kwenye orodha ya mataifa yanayofadhili ugaidi ikiwa taifa hilo litakubali kulipa fidia

Read more
Kimataifa 

Jamii ya kimataifa yatakiwa kuangazia habari njema kutoka Afrika

14 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments Dr Hak Ja Han Moon., Hilik Bar, Israel, Webinar

Bara la afrika lina uwezo mkubwa na fursa nyingi katika kila sekta ambazo zinastahili kutumika,haya ni kwa mujibu wa aliyekuwa

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version