Skip to content
Wednesday, January 20, 2021
Latest:
  • Ushauri wa Professor Jay
  • Tiffany Trump atangaza uchumba
  • Timu ya Olunga Duhail yaangukia Ahly Droo ya kombe la dunia kwa vilabu mwezi ujao
  • Ndege aina ya Boeing 737 Max kupata idhini ya kupaa bara Ulaya juma lijalo
  • Watu 3,000 walifariki kutokana na saratani ya mlango wa uzazi mwaka 2020 nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi
  • Uchaguzi Tanzania 2020

Ikulu

Habari 

Rais Kenyatta akutana na Waziri kutoka Japan katika Ikulu ya Nairobi

13 January 2021 James Kombe 0 Comments Ikulu, Japan, Rais Uhuru Kenyatta, Toshimitsu Motegi

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Japan anayezuru humu nchini, Toshimitsu Motegi, katika Ikulu ya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta amuomboleza Profesa wa Matibabu James Kagia

30 November 2020 James Kombe 0 Comments Ikulu, Profesa James Kagia, Rais Uhuru Kenyatta, Ruth Kagia

Rais Uhuru Kenyatta ametuma ujumbe wa faraja kwa familia, jamaa na marafiki wa Profesa James Kagia aliyeaga dunia Jumatatu. Profesa

Read more
Habari 

Rais Kenyatta asifu ushirikiano serikalini katika utoaji huduma

24 November 2020 James Kombe 0 Comments ADB, Covid-19, Ikulu, Rais Uhuru Kenyatta, Tonny Blair

Rais Uhuru Kenyatta amesema jitihada za pamoja za serikali zimeimarisha utoaji huduma kwa wananchi. Rais amesema ijitaha hizo zimesaidia katika

Read more
Habari 

Rais Kenyatta aidhinisha sheria mpya ya uteuzi wa makamishna wa IEBC

28 October 202028 October 2020 James Kombe 0 Comments Iebc, Ikulu, Rais Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ametia saini kuwa sheria, mswada nambari tatu wa mwaka 2019 wa marekebisho ya sheria ya Tume Huru

Read more
Kimataifa 

Trump athibitishwa kuwa hawezi kueneza tena COVID-19

11 October 202011 October 2020 James Kombe 0 Comments Covid-19, Donald trump, Ikulu, Marekani

Daktari wa Ikulu ya White House nchini Marekani Sean Conley amethibitisha kuwa Rais Donald Trump hawezi tena kusambaza virusi vya

Read more
Habari 

Rais Kenyatta aidhinisha sheria ya ugavi wa mapato kwa kaunti

8 October 2020 James Kombe 0 Comments Ikulu, Rais Kenyatta, ugavi wa mapato

Rais Uhuru Kenyatta ametia sahihi mswada wa ugavi wa mapato kwa kaunti 2020/2021 kuwa sheria. Hatua hii inatarajiwa kuidhinisha usambazaji

Read more
Habari 

Rais Kenyatta atangaza siku tatu za maombi ya kitaifa

7 October 2020 James Kombe 0 Comments Ikulu, Maombi, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza wikendi ijayo kuwa ya maombi ya kitaifa kuanzia Ijumaa tarehe 9 hadi Jumapili tarehe 11 Oktoba,

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version