Skip to content
Monday, March 1, 2021
Latest:
  • Wahariri wadai Uhuru wa vyombo vya habari unavurugwa
  • Lioness kuvaana na Russia huku Shujaa ikikabana koo na Argentina Fainali ya Madrid 7’s
  • Vipusa wa KCB watoka nyuma na kutoboa mabomba ya Kenya Pipeline ligi kuu Voliboli
  • Ingwe waikwaruza Homeboyz ligi kuu FKF
  • Visa 325 vipya vya Covid-19 vyanakiliwa hapa nchini
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Hotuba

Habari 

Bunge la Seneti kujadili hotuba ya Rais

17 November 202017 November 2020 James Kombe 0 Comments BBI, bunge, Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta, Seneti

Bunge la Seneti leo linatarajiwa kujadili hotuba ya kuhusu hali ya taifa la Kenya iliyotolewa na Rais Uhuru Kenyatta Alhamisi

Read more
Habari 

Kauli ya Kagwe kuhusu chanjo ya Corona yawaudhi Wakenya

12 November 2020 James Kombe 0 Comments BioNTech, Chanjo, Covid-19, Hotuba, Mutahi Kagwe, Pfizer, Rais Kenyatta

Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amekashifiwa na Wakenya kutokana na kauli yake kuhusu uvumbuzi wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa

Read more
Habari 

Hotuba ya Rais kuhusu hali ya taifa kutolewa leo

12 November 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta, Seneti

Rais Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kutoa hotuba ya mwaka huu kuhusu hali ya taifa kwenye kikao cha pamoja cha Bunge

Read more
Habari 

Rais Kenyatta asimamisha mikutano ya kisiasa nchini kwa siku 60

4 November 2020 James Kombe 1 Comment Covid-19, Hotuba, Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta amepiga marufuku maandalizi ya mikutano ya hadhara ya kisiasa kwa muda wa siku 60 ili kukabiliana na

Read more
Habari 

Rais Kenyatta kuhutubia taifa leo kuhusu hali ya Corona

4 November 2020 James Kombe 0 Comments Corona, Hotuba, Magavana, Rais Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhutubia taifa leo kuhusu hali ya janga la Corona na masharti ya kuzuia msambao wa virusi

Read more
Habari 

Rais Kenyatta kutoa hotuba ya 2020 kuhusu hali ya taifa Juma lijalo

4 November 2020 James Kombe 0 Comments bunge, Hotuba, Rais Uhuru Kenyatta, Seneti, Spika Justin Muturi

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kutoa hotuba ya mwaka huu kuhusu hali ya taifa hili kwenye kikao cha pamoja cha Bunge

Read more
Habari 

Hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Sikukuu ya Mashujaa, tarehe 20 Oktoba 2020 katika Uwanja wa Gusii, Kisii

20 October 202021 October 2020 James Kombe 1 Comment Gusii, Hotuba, Kisii, Mashujaa, Rais Uhuru Kenyatta

Wakenya Wenzangu, Mabibi Na Mabwana, Nawatakieni Siku Kuu yenye furaha ya Mashujaa. Kwanza kabisa, hebu niwashukuru watu wa Abagusii kwa

Read more
Habari 

Uhuru aongeza muda wa kafyu huku akitarajiwa kuhutubia taifa wiki ijayo

21 September 2020 James Kombe 0 Comments Hotuba, Joseph Kinyua, Uhuru Kenyatta

Muda wa utekelezaji wa kanuni zilizopo za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19 umeongezwa hadi Jumanne wiki ijayo ambapo Rais

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version