Skip to content
Thursday, March 4, 2021
Latest:
  • Rais Kenyatta azuru hifadhi ya chanjo za korona Kitengela
  • Sadiq Daba ameaga dunia
  • Machifu wa Kilifi waagizwa kuwalinda wazee wanaowindwa kwa tuhuma za uchawi
  • Stars yaendeleza mazoezi kujiandaa kukabiliana na Misri na Togo
  • Lupita Nyong’o aanzisha kipindi cha watoto
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Hillary Mutyambai

Habari 

Aliyebadilisha alama ya KCSE kutoka E hadi B- ili apate kazi ya Polisi aishia korokoroni

22 February 2021 James Kombe 0 Comments Hillary Mutyambai, Kihoto, Naivasha, Polisi, Usajili

Polisi wanamzuilia mwanaume mmoja aliyewasilisha cheti chenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyokarabatiwa katika zoezi la usajili wa

Read more
Habari 

Wahudumu wa bodaboda waonywa dhidi ya ukiukaji wa sheria

29 January 202128 January 2021 Tom Mathinji 0 Comments Bodaboda, Hillary Mutyambai

Maafisa wa polisi wameagizwa kuchukua hatua zifaazo za kisheria dhidi ya wahudumu wa boda boda ambao watapatikana wakikiuka sheria. Inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai amewaonya

Read more
Habari 

Polisi wapongezwa kwa kudumisha usalama nchini

26 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments Charles Owino, Fred Matiang'i, Hillary Mutyambai

Waziri wa usalama wa kitaifa Dkt. Fred Matiangi amewahakikishia wakenya kuwa maafisa wa usalama wanafanya kila liwezekanalo kudumisha usalama kote

Read more
Habari 

Maafisa wa Polisi kufaidika na Bima ya Matibabu iliyoboreshwa kuanzia Januari

23 December 202023 December 2020 James Kombe 0 Comments Bima, Hillary Mutyambai, Karanja kibicho, NHIF, Polisi

Maafisa wa Huduma ya Kitaifa ya Polisi na wale kutoka Idara ya Magereza nchini watafaidika na mpango wa bima ya

Read more
Habari 

Madereva watakiwa kuwa makini zaidi msimu huu wa Krismasi

22 December 2020 Tom Mathinji 0 Comments ajali barabarani, Hillary Mutyambai

Huduma ya taifa ya polisi imetangaza hatua zinazolenga kupunguza ajali za barabarani wakati huu wa msimu wa krismasi. Akizungumza na

Read more
Habari 

Maafisa watatu wa matibabu wakamatwa kwa madai ya ulanguzi wa watoto Jijini Nairobi

18 November 202018 November 2020 Tom Mathinji 0 Comments Hillary Mutyambai, Ulanguzi wa watoto

Maafisa watatu wa matibabu katika hospitali moja Jijini Nairobi wamekamatwa kwa madai ya kuhusika na ulanguzi wa watoto Inspekta Jenerali

Read more
Habari 

Hatutaruhusu ghasia kwenye mikutano ya hadhara – Mutyambai

12 October 2020 James Kombe 0 Comments Ghasia, Hillary Mutyambai, Mikutano, Polisi

Inspekta Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai amekariri kuwa Tume ya Huduma za Polisi itaidhinisha kufanyika kwa mikutano baada tu ya

Read more
Habari 

Mutyambai: Ukiukaji sheria za trafiki ndio sababu kuu ya ajali za barabarani

9 October 2020 Tom Mathinji 0 Comments Hillary Mutyambai, NPS, NTSA

Huduma ya taifa ya polisi imetangaza kuanzishwa kwa msako wa magari mabovu kwenye barabara kuu zote nchini kwa nia ya

Read more
Habari 

Mutyambai aamuru uchunguzi kuhusu ghasia za Murang’a

5 October 2020 James Kombe 0 Comments Ghasia, Hillary Mutyambai, Kenol, Polisi, Ruto

Idara ya Polisi imeanzisha uchunguzi kuhusu ghasia zilizotokea katika eneo la Kenol, Kaunti ya Murang’a zilizosababisha vifo vya watu wawili.

Read more
Habari 

George Kinoti amtaka Cleophas Malala kuomba msamaha kwa kutoa habari za uwongo

24 September 2020 Tom Mathinji 0 Comments Cleophas Malala, DCI, George Kinoti, Hillary Mutyambai

Mkurugenzi wa idara ya upelelezi DCI, George Kinoti, anamtaka seneta wa kaunti ya Kakamega, Cleophas Malala aombe msamaha kwa kudai

Read more

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version