Skip to content
Sunday, February 28, 2021
Latest:
  • Coy Mzungu azawadiwa gari
  • Munya:Sheria mpya za kahawa kuwanufaisha wakulima
  • Wafanyibiashara ndogo ndogo watakiwa kulenga soko la Afrika Mashariki
  • Rais Kenyatta ndiye mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Afrika Mashariki
  • Shujaa yashinda mechi zote tatu Madrid 7’s
Radiotaifa-92.9fm-kenya-logo

Radio Taifa

Sauti ya Mkenya

  • Habari
  • Burudani
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Vipindi

Gor Mahia

Michezo 

Mashemeji waogopana ligi kuu FKF

7 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, FKFPL, Gor Mahia

Derby iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na ghamu baina ya  AFC Leopards na Gor Mahia haikuwa na chochote muhimu baada ya

Read more
Michezo 

Mashemeji Derby Kasarani bila mashabiki Jumapili

5 February 2021 Dismas Otuke 0 Comments Afc Leopards, FKFPL, Gor Mahia

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya Gor Mahia watashuka uwanjani Kasarani Jumapili  Februari 7  kwa mechi ya ligi kuu

Read more
Michezo 

Ulinzi Stars waiangusha Mathare United huku Gor wakiiparuza Zoo Fc ligi kuu FKF

27 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments FKFPL, Gor Mahia, KDF, Mathare United, Ulinzi Stars, ZOO FC

Wanajeshi Ulinzi Stars  na mabingwa watetezi Gor Mahia wamesajili ushindi katika mechi mbili za ligi kuu FKF  zilizosakatwa Jumatano alasiri.

Read more
Michezo 

Gor Mahia wazima Stima Kisumu

18 January 202118 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments FKFPL, Gor Mahia, Western Stima

Mabingwa watetezi Gor Mahia  wameiteketeza Western Stima  mabao 3-1 katika mechi ya ligi kuu FKF  Jumatatu alasiri katika uwanja Moi

Read more
Michezo 

Gor waangukia NAPSA All Stars kuwania tiketi ya makundi ya kombe la shirikisho

8 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Confed Cup, Gor Mahia, Napsa All Stars

Gor Mahia   wameratibiwa kumenyana na timu ya  National Pension Scheme Authority  Stars (NAPSA) ya Zambia  katika mchujo wa kufuzu kw

Read more
Michezo 

Gor Mahia kuhitimisha ratiba na wageni Belouizdad

6 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CR Belouizd, Gor Mahia

Mabingwa wa Kenya Gor Mahia watakuwa na kibarua cha mwaka katika mechi ya marudio ya mchujo wa pili kuwania taji

Read more
Michezo 

Nyumbani ni nyumbani !! Owino Calabar aanza mazoezi na Gor Mahia miaka 6 baadae

5 January 20214 January 2021 Dismas Otuke 0 Comments Calabar, David Owino, Gor Mahia

Beki wa zamani wa kilabu cha Gor Mahia  David Owino Kalabar ameanza mazoezi na mabingwa hao watatezi wa ligi kuu

Read more
Michezo 

David Owino Calabar aibwaga manyanga ya Zesco United

31 December 202031 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments Calabar, David Owino Odhiambo, Faz, fkf, Gor Mahia, Zesco United

Klabu ya Zesco United imemruhusu Difenda wa Kenya  David Owino Odhiambo almaaarufu Calabar,kuondoka baada ya kutamatisha kandarasi yake  ya sasa

Read more
Michezo 

Gor kukabana koo na wenyeji Belouizdad Jumamosi usiku

26 December 202025 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, CR Belouizd, Gor Mahia

Mabingwa wa Kenya Gor Mahia watashuka uwanjani Jumamosi usiku kupambana na mabingwa wa Algeria CR Belouizdad katika mkondo wa kwanza

Read more
Michezo 

Safari ya Gor kwenda Algeria yakumbwa na misukosuko

21 December 202021 December 2020 Dismas Otuke 0 Comments CAF, Caf Champions league, CR Belouizdad, Gor Mahia

Safari ya timu ya Gor Mahia  kuelekea Algeria imekumbwa na utata baada ya kudaiwa kukosekana kwa ndege ya usafiri moja

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Kutuhusu

KBC Radio Taifa ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

KBC Radio Taifa ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • Pwani FM
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates
Copyright © 2021 Radio Taifa. All rights reserved.
Go to mobile version